Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Habari imesema mnafanya biashara nyingi na DRC kuliko na Kenya. Yeye katafsiri eti mnafanya biashara nyingi na DRC kuliko Kenya wanavyofanya na DRC. Ndio maana nikasema kizungu balaa.
 
Jamhuri Stadium Dodoma Today (Dodoma jiji vs Simba)
Pitch renovatedโœ…
Lights Capacity Increasedโœ…
Pale Kenya mechi kuchezwa usiku bado ni ndoto.
View attachment 3110435
Aisee ulipigwa mpira mwingi sn, pitch nzr, atmosphere kama uefa, ila mwamuzi kazingua kama kawaida ya waamuzi wetu wa bongo, but Dodoma jiji nafikiri imeuliza maswali mengi sn yasiyo na majibu leo. Best performance tonight.
 
Habari imesema mnafanya biashara nyingi na DRC kuliko na Kenya. Yeye katafsiri eti mnafanya biashara nyingi na DRC kuliko Kenya wanavyofanya na DRC. Ndio maana nikasema kizungu balaa.
Wewe Ndio umemuelewa vibaya mzee umetafsiri totally different na mchizi Alivyo adres hii issue, siwezi kukulaumu lakini una level ndogo ya comprehension. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
wacha hasira sasa nilikwambia toka mwanzo dar ni kubwa mara tatu ya nairobi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hebu nambie hapo posta unaiona vzr??
Unataka kusema umekuwa kipofu? Kwamba huoni Posta kwenye hiyo picha niliyopost?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ