Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ndio next president, huwa anaitukana Kunyaland kama chupi yake lakini sijawahi kumsikia akiongea ujinga kuhusu Tanzania zaidi ya kuimwagia sifa kedekede eti ndio nyumbani kwao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kundustan imekua kichekesho kwa Kila mtu, ni wao tu na midomo yao ndio wanajiona wapo mbele. Upeo mdogo.

Huyu mkulungwa hapo Chini ( Chura) ndio most Kundustanians na hiyo view hapo mbele ndio dunia yote ( View from Kalia dudu na Dongo KunduπŸ˜‚


 
Na mkiambiwa na waziri wenu mkuu kwamba alikuwa busy anachapa kazi, huo mda wote (about two weeks) alikuwa wapi na kazi alikuwa akichapa wapi wakati huo muda wote hakuwahi oneka adharani?
Soma or Sikiliza CDF story, Anasema viongozi wakubwa wote walifichwa issues ya Magufuli, so ulitegemea waziri aropoke amekufa ambalo ni kosa la Uhaini?
 
Nchi zetu zinategemea Mapato humo humo,kuondoa ushuru sidhani
Ushuru ukiondoka italeta multiplier effect kwa sector nzima ya biashara na huduma. Kutakuwa na utanisi wa mapato kwa nchi maana businesses zitaongezeka, taxable individual incomes itaongezeka na corporate tax pia employent itaongezeka na other logistical and service sectors zita benefit.
Mapato yatakuwa mengi kuliko hizo hizo meagre taxes tunazotegemea.
Increased business volume is directly proportional to tax increase
 
mwendawazimu ww kapeleka ikafanye nn wakat ni bus la kichina 100% hebu niambie wwπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Give it months uone Ally Star iko rudi na sura mpya with a Logo of Master. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†
 
according to who mama ngina au ndio wale millionare wa 1m usd kila mmoja
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unaumia ukiwa wapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Soon Mombasa pia itapita Dar is slum kwa utajiriπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
hebu ww tuambie inafanya nn maana mm naona inapita barabarani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

so hio picha inahusiana nn na unachokisema kondoo wewe

leta picha ikiwa ndani inaguswa hata tairi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Gate ya Master Fabricator siku hizi ni barabarani? Alafu ilikuwa inapita barabarani ikienda wapi? Siku hizi Ally Star Ina routes za Kenya?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio ukweli ila Sasa huwezi kuwa na uhakika wa compensation ya Mapato yatakayopotea.

Hiyo multiplier effects and so fourth huwezi kui measure au estimates in actual figures,imekaa kimatarajio so Serikali zinachelewa kufuta Kwa sababu hizo za kupoteza Mapato..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…