concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,999
- 15,466
Nani shareholder mkubwa ? KQ kakaribishwa kuwekeza tu Hana Ile kura turufu au hata kura turufu huijuiKQ owns Precision Air.
Nani shareholder mkubwa ? KQ kakaribishwa kuwekeza tu Hana Ile kura turufu au hata kura turufu huijuiKQ owns Precision Air.
Kenyan mgr-The MGR has a total network of 2046Km spread across the country. The Corporation has embarked on rehabilitation of the Meter Gauge Railway infrastructure in an effort to increase its reliability, efficiency and safety for freight haulage and passenger movements.Unajaribu kukimbia swali.? 😂😂😂 kenya kuna km ngapi za reli.?
******* watakuwa na uwanja mmoja tu approved, sisi tutakuwa na 5 approved stadiums, that's a difference mzee, tumewaacha mbali sana, again; hii michuano tutaandaa pekeetu, watanzania tujishikize maana hawa wababaishaji hawatoandaa Afcon, mtaniambia mm humu.Za ndaani kabisa 👇🏾😅Arusha stadium, mleta haya materiał kutoka China ni mwanangu, leo alikua ananidokeza moja mbili tatu View attachment 3108420View attachment 3108421View attachment 3108422za ndaani kabisa Uwanja wa dodoma utajengwa na vifaa vimeshaanza kuagizwa , The best 007 uwanja utatoka kama render mwanangu. 😅
Kama hujui uwe unakaa kimya.You are just a Quack. I have nothing else to discuss with you juu your knowledge in medical is zero.
Mpuuzi wewe breathing difficulty sio illness.Breathing difficulty is an illness Mr. Quack.
Which year?
Mnasema hearsay Na tulipowaambia amekufa kutoka kwa the same sources mlipinga. Haya, ako Hai?🤣🤣🤣Kwa hiyo unataka tuwaamini na hearsay zenu? Raisi wenu hakusema amefia Kenya wakati wa msiba, waziri wa afya kimya, mganga mkuu wa Serikali kimya, Hospital yenyewe kimya. Ila nyie otorong'ong'o ndio tuwaamini mbele ya Mkuu wa majeshi aliyeipitisha nchi kipindi kigumu salama?
Na kumbuka Magufuli alikua hana uhusiano mzuri na nyie (Kuchoma vifaranga, kuzuia raw materials kuingia badala yake muuziwe unga, kuwapoach EACOP, kuwatibulia COW).
Utakua kichaa bila shaka kuamini huo upuuzi.
Mnafahamu siku chache kabla alikua Ubungo, na kuapisha viongozi?
Kwa nini mpaka leo hamjatoa ushahidi zaidi ya makala ya vijigazeti vyenu uchwara?Mnasema hearsay Na tulipowaambua amekufa kutoka kwa the same sources mlipinga. Haya, ako Hai?🤣🤣🤣
yupi mpumbavu kati ya engineer wa kenya aliyejenga jengo hili
View: https://youtu.be/r5uKVeusc2s?si=j8yVL_dgygS0gaVH
Mkubwa Phase One hawakuweka hata moja, wasije iga huo ujinga.