Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Mkiambiwa ukweli mnasema ni chuki. Mko na nini ya kuchukiwa? Ama umaskini?😂😂😂👇👇When have you ever heard of capitalist speaks highly of a socialist country?
Wanasifia makapitalist wenzao mdio maana hata swala la njaa Kenya huweai liona CNN. Chuki yao inakuja wanapofika Tanzania umiliki wa ardhi hakuna na sheria za uwekezaji holela ni tight.