In 2021 aisee we ni ng'ombe!??
Lete ushahidi wa Magufuli kutibiwa Kenya!?Yet you take your Presidents to Kenya to be treated😂😂🤣😂
Nenda hapo juu kidogo kwenye standi ya matatu ni pachafu sio poa
source by who??? 😂😂😂😂
Hana huyo nyang'au😎Lete ushahidi wa Magufuli kutibiwa Kenya!?
Usisahau mwaka huu tumewapa msaada wa dawa za TB.
Pigo jingine takatifu kwa kunyan loadin...Sijui utapost nini juu hii area imeshavunjwa 😂😂😂😂 najua itakuuma ila ugua pole pole. 😂😂sisi tumeamua kufanya noma kwenye sector ya miundombinu. Imagine huu mto wote we upgrading it to be seen like this 👇🏾 all the way. View attachment 3106369View attachment 3106370View attachment 3106372View attachment 3106375View attachment 3106374Najua hii itakuuma sana 😂😂😂 ila uzoee. Huu mradi unaitwa Msimbazi river basin dvt project. Nadhani watu huwapost kuhusu huu mradi humu ndani.. now I officially want to let you that we are developing with a light speed.