Hakuna place imevunjwa hapo, yakivunjwa utalala wapi juu unaishi huko😂😂🤣😂.
By the way Ebu tuonyeshe picha ama video hiyo place ikivunjwa😂😂🤣😂
Sijui utapost nini juu hii area imeshavunjwa 😂😂😂😂 najua itakuuma ila ugua pole pole. 😂😂sisi tumeamua kufanya noma kwenye sector ya miundombinu. Imagine huu mto wote we upgrading it to be seen like this 👇🏾 all the way.Hizi maeneo down there Nyumba karibu zote zimekula nyundo na zinaendelea kula nyundo. Mradi wa mto Msimbazi. 👇🏾View attachment 3106354Cheki kazi hiyo 👇🏾View attachment 3106357View attachment 3106358View attachment 3106355View attachment 3106356😂😂😂 sasa sijui utapost nini next year. 😂😂😂
Hii si Dar 😂😂😂 endelea kujifurahisha, unaruhusiwa.
70% of Dar is Slum. Let that stick in your baboonius brain.Sijui utapost nini juu hii area imeshavunjwa 😂😂😂😂 najua itakuuma ila ugua pole pole. 😂😂sisi tumeamua kufanya noma kwenye sector ya miundombinu. Imagine huu mto wote we upgrading it to be seen like this 👇🏾 all the way. View attachment 3106369View attachment 3106370View attachment 3106372View attachment 3106375View attachment 3106374Najua hii itakuuma sana 😂😂😂 ila uzoee. Huu mradi unaitwa Msimbazi river basin dvt project. Nadhani watu huwapost kuhusu huu mradi humu ndani.. now I officially want to let you that we are developing with a light speed.
That’s Dar and from that picture hiyo neighborhood has no tarmac roads.Hii si Dar 😂😂😂 endelea kujifurahisha, unaruhusiwa.
Ingia google tafuta Msimbazi River. 😂😂😂 halafu ona unapoanzia hadi unapoishia in Dar then jua tunaendeleza huo mtu wote. 😂😂 inauma eeh.? We are gonna build uncountable numbers of recreational parks all along. Hii najua ni habari mbaya kwako. 😂😂😂I can still see the same dumpsite like neighborhood spread all over the place. Did you know that 70% of Dar looks like that and whatever has been demolished isn’t even 0.00011%?
Dar na udongo mwekundu.? Wapi na wapi.? 😂😂😂That’s Dar and from that picture hiyo neighborhood has no tarmac roads.
I have no time kwa upumbavu kama huo,huko kibera jobless ndio uwa mna muda huoTenegeneza yako uweke Tanzania juu alafu utuonyeshe 😂😂
Hii picha sio TZ,angalia steering upande ilipo ya hiyo gari na plate number,uzuri wake endeleeni na propaganda zenu ambazo zinakuja kuwaumiza nyinyi wenyewe sie hata atujali tunasonga mbele
You are focused with the picture more than the information 😂😂😂.Hii picha sio TZ,angalia steering upande ilipo ya hiyo gari na plate number,uzuri wake endeleeni na propaganda zenu ambazo zinakuja kuwaumiza nyinyi wenyewe sie hata atujali tunasonga mbele
Thanks for accepting that Tanzanian health system is non existence.👏👏👏I have no time kwa upumbavu kama huo,huko kibera jobless ndio uwa mna muda huo
hatuna plate number nyeusi zinazoishia na deDar na udongo mwekundu.? Wapi na wapi.? 😂😂😂
Hata source hujui kusoma na imeandikwa tu vizuri. 🤣 🤣 🤣 Enyewe hakuna kitu mbaya kama kukua primary school dropout.
Hata mulika mwizi moja hakuna. 🤣🤣🤣