Wewe ndio ukona makasiriko, ndio kwa maana unareply post haujakua mentioned. 🤣 🤣 🤣😂😂😂😂😂 sasa hasira za nn budaa
Wewe ndio ukona makasiriko, ndio kwa maana unareply post haujakua mentioned. 🤣 🤣 🤣😂😂😂😂😂 sasa hasira za nn budaa
🔨🔨🔨👇👇Nani alikudanganya bongoslum ndio ilikua nchi ya kwanza kua na BRT in Africa.
Baada ya kuona marcopolo ruto kaamua kuepusha maandamano mengineNani alikudanganya bongoslum ndio ilikua nchi ya kwanza kua na BRT in Africa.
Nani akae kwa safari masaa 6 mpaka 7 kwa ubao.Nauli waliyoongezewa ndo kama Ile tunalipa kwa sgr ila Sasa ila kwao wateja wanapungua huku kwetu Hali ni tofauti
newyork ouuch sorry ni bongo 😂😂
View: https://www.instagram.com/reel/DADbx8sM9j_/?igsh=MWxwOW42enU0bnM0dQ==
pale ngoma huwa ni sekunde kadhaa tu imehepa, halafu wale madereva kuna muda kitu kinasoma 165km/hr sasa ipo siku kitu kitasoma 200km/hr kwa wazee wa modificationDuh nimecheka sana. Dada kaambiwa treni itapita hakujua inapita kwa mwendo gani. Chuma kimepita kitendo cha kuwasha camera treni haipo!
Halafu unasikia mbuzi ambae hajawahi kutoka Kibera anaponda!