Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,156
- 9,576
Na CHAN inachezwa EAST AFRICA kwa wale wa pamoja bide sijui kama kundustan tayari ana hata uwanja unao kidhi vigezo by January bado Caf haijapanga ufunguzi na ufungaji wa mashindano tujuzane wajuzi