Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,880
- 32,656
Halafu ni jobless😎...Nimeelewa wewe ni mtu ambaye unakariri wala hauelewi....
Halafu ni jobless😎...Nimeelewa wewe ni mtu ambaye unakariri wala hauelewi....
kwa density hii hata arusha inawachapa viboko 😂😂😂😂
kaka tunza ugali wako tumboni huyo chizi alishazoeleka humu ndani 😂😂😂😂Mie huwa sibishanagi.
Nishakufundisha natumai umeelewa kijana.
Siku ingine ukikosea nitakuelewesha sawa!?
End of discussion.
Alafu mbona hii BRT Nigeria imekaa jua kali namna hii? Mauchafu barabarani kama kenya, yn Africa bhn hata waweke nn lazima uafrika uonekane, sisi watanzania tumshukuru sn Mungu aisee, tukiweka world class infrastructure lazima ionekane hivyo hata miaka 10 ipite, ona hapa ni ulaya kabisa 👇 👇Pamoja na serikali yetu sio perfect ila sometimes tukubali tuna watu wenye akili timamu serikalini, Nigeria ni largest economy in Africa ungetegemea wangefanya vitu kwa ukubwa huo lakini namna serikali yao inaendeshwa ni aibu, brt yao imetafuna pesa nyingi kuliko yetu by far lakini angalia busses kutoka same marcopolo company waliyoorder, hayana AC, ni mafupi, hayana handicapped priority ♿ ni mabaya in short lakini sisi tumeenda kutungua kitu first class, lazima wakundustan watuchukie
🇳🇬
View attachment 3103889View attachment 3103890
🇹🇿
View attachment 3103891
Usisahau ni nchi tatu pekee zilizoingiza klabu mbili top ten, Egypt, Morocco na Giant of East and central Africa Tanzania.tanzania imeingiza simba na yanga top ten vilabu bora africa so far
View attachment 3103918
Unamaliza nguvu na muda wako adhimu ku argue na mijitu inayotoka cursed country, hayo madini kwao hakuna atakueleza nn.Kwa akili zako hapo unaweza kupata mzigo wa kilo 100+??
Hapo hata gram 100 hupati.
Unapoambiwa mchimbaji mdogo haimaanishi anachimba kwa style hiyo maana yake ni mchimbaji mwenye leseni ndogo.
Hawa wakenya ni wasenge kweli kweli, hivi wanadhani hata wanaikaribia Tanzania kwa idadi ya Dollar millionaires? Hivi wanajua kule mererani au Geita kuna madoni wangapi wa kitanzania? Na hapo nmegusia migodi miwili tu sijagusa mamia ya migodi ambapo huko kote kuna maelfu ya madoni wa kitanzania, hawa watu wanaenda kuujua ukweli soon mana mpaka sasa hawaelewi hii nchi waliyokuwa wanadhani wanaiweza mbona inafanya mambo makubwa kwa wakati mmoja alafu tunaambiwa tunaiweza?Ndio mimi namshangaa.
Anadhani mtu kuitwa mchimbaji mdogo ndio anachimba kwa chepe.😂😂😂😂
Mchimbaji mdogo ni yule mwenye leseni ndogo ya uchimbaji inayomlimit kusafirisha huo mzigo.
Ila anakua na vifaa vikubwa tu ikiwemo hadi crusher.
Nyerere alitakiwa kuwa namba 1.🇹🇿 Kuna Viongozi 2 Kundustan hakuna hata mmja 😂😂👇👇
View: https://x.com/zoomafrika1/status/1837937972966314028?t=Gf2CN1CD1PdlUtWpjZhnxw&s=19
Toa Gadafi hapo1. Nyerere
2. Gaddafi
3. Nkrumah
4. Mugabe.........
Mandela hapaswi kuingia hata top 5.
Hajui lolote kuhusu maisha yeye akiambiwa mfanyabiashara mdogo Kwa Kenya inabidi awe anafanyia kwenye slums zaoNdio mimi namshangaa.
Anadhani mtu kuitwa mchimbaji mdogo ndio anachimba kwa chepe.😂😂😂😂
Mchimbaji mdogo ni yule mwenye leseni ndogo ya uchimbaji inayomlimit kusafirisha huo mzigo.
Ila anakua na vifaa vikubwa tu ikiwemo hadi crusher.
Na 90% of them ni nzee, hawa wakenya washukuru British lasivyo wangekuwa worse than Burundi.Estates karibu zote zenye you brag with, ni foreign investment. 😂😂😂