Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ha haa kuna mataila watano wakikenya ndugu zenu niliwahi soma na primary kitambo hicho aisee walikuwa ni Vilaza sana walipomaliza primary ikabidi warudishwe huko kwenu kwenye easy education inayoproduce maproffesor uchwala wenye proffrsional ya kusuka mikeka ya kupumzikia na proffesional ya kukimbia.....

kiukweli elimu ya tz hamuiwezi mshazoea soft education ndiyo maana hata kuja kusoma kwa wingi mnaogopa....

elimu ya tz tunaiweza wenyewe Inabidi uwe smart sana ndiyo uiweze.....ndiyo maana tunaproduce vichwa smart kisawasawa nyie endeleeni kuproduce English speaker tena wenye rafuzi mbaya
Namjui English ....baba[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] k

Ushawahi waona wanafunzi wangapi wa Kenya wakizisomea shule zenu za msingi, za upili na pia chuo kikuu? Na ni watanzania wangapi waliopo Kenya for KENYAN education??.
Nimesoma na wakenya kuanzia primary mpaka chuo ...sa sijui unaongea nini au nikutajie na majina nawakumbuka woteeee

[quote uid=55521 name="Annael" post=24837279]Unatokwa na mapovu sana. This is Tanzania usifanye mchezo. Nikianza kukupatia marais waliopita mikononi mwa Tanzania utaduwaa. Acha kulia lia. Tanzania hapo level moja na Kenya nyie pigeni kelele tu.
3. Prof Sospeter Muhongo (Vice-President for Commission of the Geological Map of the World)

Leta wasomi watano wakenya waliofanya kazi UN au wanofanya sasa mimi nitakupatia kumi.[/QUOTE]
utasikia ooh....Kenya tunawasomi ooh Mara elimu yao bora.....

kama mpo bora mbona hatuwaoni Kenya kiukweli vyuo vyao wanaproduce washona Nguo na mabeki tatu.......ndiyo maana njaa ikiwazidi wanapambana na marathon mbio za nyika

Soo what....tufanye nn juuu MNA usenge
So hamjui cha kufanya kwani hiyo nchi ardhi ni kwa sababu ya wakubwa tu au ni haki ya kila mtu kua na ardhi...pambaneni mambo gani sasa mtu unapanga nyumba hadi unazeeka huna kiwanja kisa wahuni kumi tu wanamiliki ardhi yote hahahahah

Sasa ukiwa kenya si unaona watz wakisoma!!!.utawezake kuona wakenya wakisoma tz wakati uko kenya???

Wapo wengi msee tena mpaka chuo kikuu.

Hoja zimeisha vimeanza vituko.pombe haikufai buda.
Kuna wakenya kama wewe atleast unauelewa ila huyo jamaa mwingine cjui mlevi ,anashangaa wakenya kusoma tz wakati vyuoni hadi wahindi tumesoma nao au kenya wanafunzi wa nje ni watz tu ???

Namjui English ....baba[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] k
ndiyo hatuijui na hatuna time....yakuijua

Ila mbona humu mnaileta English wakati mkijua kabisa majirani zenu hawaijui hiyo language....

kweli nyie vilaza yaani mnaongea na vipofu kwa vitendo sijui nani mwenye akili hapo....

hizo ni akili za usiku

[quote uid=55521 name="Annael" post=24837279]Unatokwa na mapovu sana. This is Tanzania usifanye mchezo. Nikianza kukupatia marais waliopita mikononi mwa Tanzania utaduwaa. Acha kulia lia. Tanzania hapo level moja na Kenya nyie pigeni kelele tu.
3. Prof Sospeter Muhongo (Vice-President for Commission of the Geological Map of the World)

Leta wasomi watano wakenya waliofanya kazi UN au wanofanya sasa mimi nitakupatia kumi.

utasikia ooh....Kenya tunawasomi ooh Mara elimu yao bora.....

kama mpo bora mbona hatuwaoni Kenya kiukweli vyuo vyao wanaproduce washona Nguo na mabeki tatu.......ndiyo maana njaa ikiwazidi wanapambana na marathon mbio za nyika[/QUOTE]
Nyie sisi tuwaoni....mkiproduce whatever[emoji12] note NYie famous eastern africa.pekee world achia wakenya

ha haa kuna mataila watano wakikenya ndugu zenu niliwahi soma na primary kitambo hicho aisee walikuwa ni Vilaza sana walipomaliza primary ikabidi warudishwe huko kwenu kwenye easy education inayoproduce maproffesor uchwala wenye proffrsional ya kusuka mikeka ya kupumzikia na proffesional ya kukimbia.....

kiukweli elimu ya tz hamuiwezi mshazoea soft education ndiyo maana hata kuja kusoma kwa wingi mnaogopa....

elimu ya tz tunaiweza wenyewe Inabidi uwe smart sana ndiyo uiweze.....ndiyo maana tunaproduce vichwa smart kisawasawa nyie endeleeni kuproduce English speaker tena wenye rafuzi mbaya
Mbona nchini yenu ni LDC? Usinitolee povu ukijibu hill swali watolee kina World Bank na IMF na UN.

Back
Top Bottom