chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,739
- 46,078
kwa sisi ambao kiswahili ndiyo lugha yetu ya kwanza, tunafurahi, ila sijui hapa nimependa kiswahili kuheshimishwa au neema ninayoiona.
Hii ishu badala ya akina Abood kutaka kuleta ukiritimba kwa SGR, walitakiwa kujiongeza, wangetumia mabasi yao kwenye BRT. Basi moja lingetengeneza mara mbili hata mara tatu kwa pesa wanayotengeneza mikoani.SΓo 400 tena. Yaan mabasi 2000 kwa Jiji kama dar ni funiko
Tukiwa kama third world country uwa tunakubali na changamoto zetu na kuzifanyia kazi,changamoto nyingi za miaka 5 iliyopita zishatatuliwa na bado zipo nyingine ambazo zinafanyiwa kazi,tofauti iliyopo na kunyan,utakuta mkunya anaishi kwenye nyumba ya bati na anajiona yupo ulaya na hata ukimuambia ukweli hawezi kukubali kama yy ni maskiniBongolalas hujiskia sukari sana kwa hii thread, utadhani hawateseki kumbe they are bottom of the barrel sh*t.
Nadhan ndo hoja waliyonayo brt ya kuwavutia wawekezaji wa ndani wanunue mabasi kwa ajili ya brt. Wap wenyewe kupitia taboa washawahi kuomba kupitia vikao vyaoHii ishu badala ya akina Abood kutaka kuleta ukiritimba kwa SGR, walitakiwa kujiongeza, wangetumia mabasi yao kwenye BRT. Basi moja lingetengeneza mata mbili hata maratatu kwa pesa wanayotengeneza mikoani.
Kwa akili zako hapo unaweza kupata mzigo wa kilo 100+??Bro, local gold miners don't study geology. Most of them are illiterate. Which planet do you idiots live on?π€£ These are your typical local gold miners. Do they look like graduates to you?
View attachment 3103749
Ndio mimi namshangaa.Huyo aliyepata hiyo hela umesikia anamiliki mpaka mtambo wa kuchenjua gold unafikiri ni hohehae huyo?
Unajua ni mercury kiasi gani inahitajika kusafisha dhahabu ya hizo kilo zote!??Sasa akishaangukia pesa atabakije hohehahe? The point is, there's nothing genius about what he did and definitely nothing that proves you have a well functioning country. It's sheer luck that can happen to any lowlife in any shithole of a country.
Let me tell you kijana kupata hizi kwa sasa ni ndoto. Kama vile viwanja vya ndege. Serikali ilishaweka Mradi wa kuondoa hayo mazingira mabovu shule za msingi (BOOST)
Inashangaza hilo darasa moja la uhaba lishakamilika 2019 alafu unabeba tu bila kutafiti.Ngoja uskie wakisema hizi ni shule za Kenyaπππ€£
View: https://x.com/John_Pambalu/status/1354402093537374210