Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
Yule dada kaipenda life style ya TZ,yuko australia now akirudi atakuja tena bongo,nataka nifanye mkakati nimlambeMwambie dada wa kikenya anaileta mwenyewe kisa kuja kushangaa shangaa electric train, BRT, modern City (Dodoma), big, clean and neat roads, modern airports, biggest football clubs na chakula kitamu cha kitanzania kwanini wasijipendekeze kwa watanzania kwa gear ya kusifia sifia Tanzania kila siku mitandaoni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣