COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Somalia hadi haikua na president....DRC wasee wakutumia panga wanaua trainned bongolala forcesAlshabab threat ya dunia nzima??? Zaidi ya somalia wapo na wapi kwingne
Somalia hadi haikua na president....DRC wasee wakutumia panga wanaua trainned bongolala forcesAlshabab threat ya dunia nzima??? Zaidi ya somalia wapo na wapi kwingne
Linda shuma
Sijakuelewa una maana gani mkuu au umemaanisha nnhawaezi kuwaomba Tz msaada maanake Tz wanataka kuona Kenya ikianguka ili wapate biashara na kuendeleza uchumi wao na Kenya ndio kizingiti
unapenda story mingi ya nini?..Alshabab huwezi linganisha na watu wa civil warHakuna cha threat dunia nzima wala nini?, M23 walikuwa wanatikisa dunia, Obama kila mara alikuwa akimuonya Kagame na Mseven wasiwape silaha wahasi, UN kwa mara ya kwanza tangu imeundwa iliamua kuvunja kanuni ya peace keeping mission na kuruhusu vikosi vilivyo chini ya UN kupigana na adui badala ya kulinda amani, nchi ya kwanza kufikiriwa kuunda kikosi kwenda kupigana na M23 Iliyokua full armed na kupata full support toka Rwanda na Uganda ni Tanzania. Alshaabab hawajawahi kukutana na jeshi lenye nguvu ndiyo sababu unaona wanasumbua, ngoja TPDF wafike hapo kama kutakuwa na Alshaabab
Acha maneno mengi ya sifa zisizokuwa na maana yoyote, by the end of the day,Apart from the global win, this year, Kenya also scooped the Africa’s leading beach destination award, the Africa’s leading national park award and the Africa’s leading tourist board award from the World Travel Awards.
How old are you??? U sound like a teenager braSomalia hadi haikua na president....DRC wasee wakutumia panga wanaua trainned bongolala forces
tafakariSijakuelewa una maana gani mkuu au umemaanisha nn
Kama umeshindwa tokeni wanaume waje huko, sisi tulishamaliza kazi tuliyotumwa kuifanya DRCunapenda story mingi ya nini?..Alshabab huwezi linganisha na watu wa civil war
sijui kitu..[emoji30] [emoji30]Chokora we unajua nini
Basi soma ulichoandika kama kinaeleweka???ila sio mbaya kazana kujifunza kiswahili bado kidogo tu utajua kunyosha maneno ..unajitahidi hata hivyotafakari
from lusematic to losermatic.....umetishawamaanisha nn na 'expandition' mwana?
[MG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/22f0fc200e97f2a6c8da7eff63cebd06.jpg[/IMG]Toa uchafu wako hapa unatujazia server bure.
Thanda Island Mafia Tanzania
![]()
![]()
![]()
![]()
halafu ujue wakenya wanahisi kama masihara ivi....Ila huo ndiyo ukweli kikosi cha tz kikienda kinafanya yakeHakuna cha threat dunia nzima wala nini?, M23 walikuwa wanatikisa dunia, Obama kila mara alikuwa akimuonya Kagame na Mseven wasiwape silaha wahasi, UN kwa mara ya kwanza tangu imeundwa iliamua kuvunja kanuni ya peace keeping mission na kuruhusu vikosi vilivyo chini ya UN kupigana na adui badala ya kulinda amani, nchi ya kwanza kufikiriwa kuunda kikosi kwenda kupigana na M23 Iliyokua full armed na kupata full support toka Rwanda na Uganda ni Tanzania. Alshaabab hawajawahi kukutana na jeshi lenye nguvu ndiyo sababu unaona wanasumbua, ngoja TPDF wafike hapo kama kutakuwa na Alshaabab
Mbona tulienda kumtoa Idd Amin wa Uganda ambaye ndiye mshirika mkuu wa biasharra na Kenya?, mbona tuliwapiga M23 kutoka Eastern DRC ambao ni watumiaji wazuri wa Mombasa port na wanunuzi wazuri wa bidhaa za Kenya?hawaezi kuwaomba Tz msaada maanake Tz wanataka kuona Kenya ikianguka ili wapate biashara na kuendeleza uchumi wao na Kenya ndio kizingiti
1. Asha Rose Migiro (3rd Deputy Secretary-General of the United Nations)Let's do this, mention Tz's top brains who work or have been exported to work in different international organizations.
I can teach you Swahily my friend. Try to engage your brain just a littleBasi soma ulichoandika kama kinaeleweka???ila sio mbaya kazana kujifunza kiswahili bado kidogo tu utajua kunyosha maneno ..unajitahidi hata hivyo
Msione aibu kuomba msaada, TPDF ni jeshi la ukombozi kwa nchi zote za Africa, halijawahi kushindwa vita hata nchi moja iliyoshiriki, Msumbili tulipoteza wanajeshi wengi lakini mwishoni tulishinda vita, Kenya hadi sasa zaidi ya wanajeshi 1000 wameshapoteza maisha na bado vita imeshindikanaSomalia hadi haikua na president....DRC wasee wakutumia panga wanaua trainned bongolala forces
Coz you are always a loserfrom lusematic to losermatic.....umetisha