Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tutawauwa haki ya mama 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Kwani unadhani kuna battle humu ndani.? πŸ˜‚πŸ˜‚ waamue tu kubaki humu kujitia pressure, sisi gari tulishaliwasha saivi linakimbia mbio nyingi mno.
 
Wakenya tukiwapiga na kitu kizito huwa wanasizi kwanza hawatokei humu siku nzima, kama leo zile buses mpya za BRT zimewauma alafu wakaoneshwa na mazingira ya Ulaya pale Dom with electric joka basi yameumia 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mambo ya gorofa tulishaachana nayo Mr. Watchman. Are you aware that Westlands alone has more buildings above 30 floors than the entire Tanzania?
Eti tulishaachana nayo, wakati umeyakosa konza ukaweka dustbin 🀣🀣

Chuchunge bana kila siku "Coming Nicely"

Mradi pekee functioning ni Talaka stadium.
 
Embu kwanza atuoneshe Airport ya kisumu the second or third largest city in Kenya tulinganishe na Airport ya the 5th or 6th largest city in Tanzania 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…