Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwambie ndio rahisi kutengeza kuliko kila kitu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Alafu yangu nipost hiyo payment Hawa watanzania wamekuwa na hasira sana๐Ÿ˜‚. Ok nimewacha kupost, sitapost tena.
 
Hata chakula anachodai kalipia 10k ni sawa na 200k za Tz.
Yani utupigie kelele kwa laki mbili za kitanzania??
Makalio kweli huyu.
Hile bill ya Jana is half your salary.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Maskini utamjua Tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Maskini utamjua Tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
huyu ni maskini tu. ukiona mtu analazimisha umuone ana hela jua ni maskini tu, ukiona anaweka details za transactions zake kwenye mitandao jua kabisa hana hela maana ukiwa na hela lazima ujue kuexpose tu transaction zako unakuwa kwenye risk ya kufatiliwa na wezi wa kimtandao.
 
Ona unavyoanza kudata๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Nusu ya sita ni mbili!??
Tulizana kijana wacha papara.
We all know Clinical officer's salary in Tanzania ni 20k, yesterday I spend 20k kwa hoteli. Tell me if that's not half your salary ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
We all know Clinical officer's salary in Tanzania ni 20k, yesterday I spend 20k kwa hoteli. Tell me if that's not half your salary ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

kwahiyo askari wenu kenya wanaanzia tsh 360,000
 
Kama mamtoni mwanangu โค๏ธ โค๏ธ ๐Ÿ˜˜ ๐Ÿ˜˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ˜ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ”ฅ
View attachment 3098852View attachment 3098854
Ingekuwa ya kundustan hii tungeimbiwa mapambio ya daily dose decade nzima hapa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Lakini Mungu si Athumani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ