Universities nyingi across the world sisi ndio case study hapa Africa.
Nakumbuka.Mzee fikiria thread inaanza alikua troll no 1. Like huyu mshamba Teargas
No wonder they are all poorπππ€£.
Deposits za wakenya kwa Saccos is 10% of Tanzanian GDPπππ€£π
Hivi irizar ni coach builder ama coach fabricator? Jibu hilo utaona ulivyo mjinga.Alafu wewe na Kiingereza chenu cha ugoko hujui kutofautisha "Built" na "Fabrication" hata "Assembly".
Built alafu Benz ina pembe like seriously?
Hawa hawajazoea cashless economy. Wachana nao.Bado unaumizwa tu?πππ
Hiyo ni M-Pesa Statement na sio risiti ya hoteliππ. Mbona wewe ni mjinga hivo?πππ
Tatizo lenu no dharau, sasa hapo juu kuna kitu gani kipya hapo? Labda namba ya MMF companies mnatuzidi ila zipo za kutosha, mpaka a halal oneWatanzania najua hamna Saccos kwenuπππ€£
View: https://x.com/TheAbojani/status/1835635739104620705
Huyo jamaa fukara sana hamtaki kuamini vitu vya kawaida.Alafu ukishapewa risiti unapeleka wapi?Unainua juu ukionyesha watu ama? If I didnβt want receipt ulitaka wanilazimishe nayo?πππ
Part ya Statement leo.
View attachment 3099019
Hawa huwa wanakubaliana na wanachokitaka kuskia, sio ukweli.πKwa your mobile wallet najua hata huna Ksh 1,000πππ.
MPESA huku Kenya ni mobile wallet na kazi yake kuu ni ya temporarily keeping emergency money. Majority of money people keep kwa Saccos and MMF. Alafu sasa how come unakubaliana na hiyo MPESA balance lakini payment ya 10,000 kwa hoteli unapinga?πππ€£π
Lakini nimependa sana vile nimekutesaπππ€£