Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzumbe University - Tanzania
DSC_1687.JPG

AF1QipPGyQw-3rg-MQlLDnmnBXQNyCV6it3cu_2BJL7a=s0

AF1QipMwwuMYBEXLrBi9_IkaXAWlfu4c7dJDD2m5TlMb=s0

AF1QipMWLQ5vQr55prZFG7KfOhh0Gq3fhitrDxZvl_yz=s0
 
I was busy in the office ....what were you saying....?
Unajifanya unauliza swali la kizushi, nilikuuliza medical procedures umlizofanya kama zinalingana na Tanzania, most advanced mliyofanya ni separation of conjoined twins, ambayo sisi tuliifanya in 1994 japo huko kwenu kama kawaida yenu ya kujipa sifa za kijinga mlitangaziwa kwamba ndiyo ya kwanza East and Central Africa,..Muhimbili sasa hivi kwa mwaka inafanya complicated heart operations(open & closed), kati ya 600 -800 per year
 
wanatupigia kelele na kiosk universities like Udom sijui mzinga university....nkt.Let them work harder maybe they might join KU or UoN or Jkuat in future
 
Kenya has over 70 universities, Tz has less than 27 mbona unapannic babaa?
But Tanzania produces 1000 Medical doctors, Kenya only 600 poor quality per year. Tanzania produces more engineers with high quality, Kenya produces fewer engineers with low quality, that's why buildings collapse every after one week
 
wanatupigia kelele na kiosk universities like Udom sijui mzinga university....nkt.Let them work harder maybe they might join KU or UoN or Jkuat in future
Mkifikia level ya udom unitag bro nasubiria😀😀
 
wanatupigia kelele na kiosk universities like Udom sijui mzinga university....nkt.Let them work harder maybe they might join KU or UoN or Jkuat in future
With poor engineers, and poor medical doctors produced due to corruption and tribalism[emoji23]
 
Unajifanya unauliza swali la kizushi, nilikuuliza medical procedures umlizofanya kama zinalingana na Tanzania, most advanced mliyofanya ni separation of conjoined twins, ambayo sisi tuliifanya in 1994 japo huko kwenu kama kawaida yenu ya kujipa sifa za kijinga mlitangaziwa kwamba ndiyo ya kwanza East and Central Africa,..Muhimbili sasa hivi kwa mwaka inafanya complicated heart operations(open & closed), kati ya 600 -800 per year
give me credible medical breakthroughs not stupid backstreet stories
 
Unaona ulivyo mpuuzi, mimi nimekutajia most advanced procedures tulizofanya katika public Hospita zetu, ninakuambia utaje huko kwenu, ukiacha ile ya separation of twins ambayo huku tuliifanya 1994, taja zingine zilizofanyika kwenu, badala ya kutaja wewe unauliza swali, Ok nitarudia
1)cochlear in plant surgery
2)Kurudishia ubongo wa mtoto aliyezaliwa ukiwa nje na hana fuvu la kichwa
3)Closed heart surgery
4)Kuvuna mishipa ya miguu na kuipandikiza kwenye moyo

Lete list ya operations mlizofanya katika public Hospitals, tafadhali anza ya hiyo namba moja
 
Akikujibu plz nitag
 
Back
Top Bottom