Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu munasema.mnajua....kiswahili.. Njoooni...hapa..pwani...mkajifunze..kiswahili
 
Hii ni minor sana.embu angalia hapa.

Yenyu=yenu.
Kunjanga=akimaajisha kujaga.
Hii mutu=huyu mtu.
Wooooi...embu....ni.kaunti...iko...Kenya.......sisi..wakenya.kwa.shule....2najua.kiwahili...in.vile.2na.penda..ku2mia sheng na influence yah mother tongue
 
Wooooi...embu....ni.kaunti...iko...Kenya.......sisi..wakenya.kwa.shule....2najua.kiwahili...in.vile.2na.penda..ku2mia sheng na influence yah mother tongue
Mnatuharibia lugha yetu kipenzi.

Au ni vile nyie hamna ya kwenu!!!!
 
Mnatuharibia lugha yetu kipenzi.

Au ni vile nyie hamna ya kwenu!!!!
Mnajifanya.mnajua..kiswahili..na.nyinyi ndio wasss.....iyo..minor.. Mistake. Is the major.mistake in Kenya..schools.............ati...(embu..angalia)...
 
UNEA Third meeting in Nairobi na haturungi, yani ni kawaida kwetu ku-host such HIGH level meetings.
 
Mnajifanya.mnajua..kiswahili..na.nyinyi ndio wasss.....iyo..minor.. Mistake. Is the major.mistake in Kenya..schools.............ati...(embu..angalia)...
Kujifanya ni nini???

Mngekuwa mnasoma kwa umakini msinge leta kachumbari ya english,swahili,kikuyu,luo na kuita slang.huo ni uchafu.
 
Back
Top Bottom