Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ongeza north mara mine ambayo nayo imeunganishwa kwa grid ya taifa mwaka huu bila kusahau most industries in tanzania zinatumia coal kuzalisha umeme wao kwa ajili ya viwanda vyao
Kaka let me correct you kidogo natokea hapo Mgodi wa North Mara ulipo, toka enzi za kikwete ulikua ushaunganishwa.

May be ulimaanisha Geita Gold Mine ndio umeunganishwa Mwaka huu.
 
Hawa nyangau huwa na tabia ya kifala sana hawakawii kuwafuata Yutong na kuwatongoza huku wakiiponda Tanzania kwa data zao za uongo 🤣🤣🤣
Biashara ya mabasi ni lazima iwe Tanzania coz kuna pesa nyingi sana, matajiri wengi wananunua mabasi kutoka Youtong, biashara ya mabasi haiwezi kwenda kenya kwenye maskini wengi.
 
Kaka let me correct you kidogo natokea hapo Mgodi wa North Mara ulipo, toka enzi za kikwete ulikua ushaunganishwa.

May be ulimaanisha Geita Gold Mine ndio umeunganishwa Mwaka huu.
Tupo mbali sana kwenye umeme sema watu wa data wanatuangusha sn nchi, huenda ni sababu zao za kidiplomasia, ila kwa dunia ya sasa waache upuuzi waweke mambo hadharani wavutie uwekezaji.
 
Hawa nyangau huwa na tabia ya kifala sana hawakawii kuwafuata Yutong na kuwatongoza huku wakiiponda Tanzania kwa data zao za uongo 🤣🤣🤣
Investors look for human resource when deciding on where to put their money, sio feelings. That’s the reason they will put assembly plant in Kenya and not Tanzania.
 
Uzuri mchina anaelewa ni nchi gani inasua sua kulipa madeni yake na kuomba debt relief. 😂😂😂
Indeed they know😂😂👇👇

1726296632316.png
 
Back
Top Bottom