concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,314
- 14,357
kweli lakini kajazeni treni yenu ya leo kwenda MombasaYani Wadanganyika ni wadanganyika tu. Nina uhakika hizo figure hata 2000 kwa siku hazifiki. Na mkumbuke SGR yenu inafocus sana sana kwa mizigo, yenu hata sidhani kama mizigo inabeba.