Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hata Marcopolo mlikuwa mnanunua mingi before hata Kenya kukuwe na moja. I guess you know what happened, assembling of Marcopolo ililetwa Kenya and not Tanzania 😂😂🤣Biashara ya mabasi ni lazima iwe Tanzania coz kuna pesa nyingi sana, matajiri wengi wananunua mabasi kutoka Youtong, biashara ya mabasi haiwezi kwenda kenya kwenye maskini wengi.