Tumeipiga timu ya Ulaya combine kwao 🤣🤣🤣🤣
Maumivu, facts hukuwacha hoi! Linaumizwa, jifariji na Taifa stars usilie, haubadilishi uhalisia vumilia tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,Jamaa analazimisha nyeusi kuwa nyeupe 😂😂😂
Wakati unatengeneza talanta sisi tayari tuna 3 CAF approved stadiums nyie hamna hata kimoja.Muliweka Viti at last … ok .. not bad.. am impressed… your first real football only venue…. See ya when Talanta is done…
Usituchekeshe kijana, yote aliyoweka ni full functioning Kenya mpaka CBD.
🤣🤣🤣🤣🤣 mako-po-loThe funny part you are posting Marcopolo buses assembled in Kenya😂😂🤣😂
Siku hizi Brazil ni Kenya asee?Katarama alinunua Marcopolo zake Kenya. Don’t forget zingine sita are on the way coming.
Mbona unatuwekea refurbished trains that stall everyday?😂😂🤣
So siku hizi Tanzania imepakana na Brazil? Cause the last time I checked those buses entered Tanzania by road through Kenyan border 😂😂Siku hizi Brazil ni Kenya asee?
Hakuna kitu wamecheza na wajinga wenzako wasiojua mpira 😆😆Hongera jirani let's fly the East African flag high.
Namibia Vs Vumbistan😂😂🤣Hakuna kitu wamecheza na wajinga wenzako wasiojua mpira 😆😆
Bora Rwanda Wapewe hongera Kwa sare tasa na Nigeria,Sasa Namibia wanajua nini wale? Hapo ni vipofu wanaongozana 😁😁
daraja la wami?? 😂😂😂😂 anhh jamani
Kumbe?daraja la wami?? 😂😂😂😂 anhh jamani
na tumemfunga guinea ambae yuko nafas ya 70 duniani 😂😂😂😂😂😂
Hili Group hamtoboi hata kwa dawa.
Vipofu wote hamna kitu hapo tena kundi lenu Lina vibonde watupu except Cameron 😆😆
SCANIA 😎
Wewe hawatoboi hilo group, mechi ya kwanza wamesuruhu na Zimbabwe hom so lazima waende Harare wakatom.bw.e na lazima waende Yaounde, yn hawatoboi. Wakwanza atakuwa Cameroon, wapili Zimbabwe, hii michuano atleast mwaka huu zitaenda timu mbili ukanda huu, Tanzania na Uganda, tumechoka kuwa pekeetu daily.Vipofu wote hamna kitu hapo tena kundi lenu Lina vibonde watupu except Cameron 😆😆