Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MAN bus chassis waiting to be mounted on another bus.

1725911520356.jpeg

1725911543004.jpeg
 
Jembe baya sanaa wallahi, jamaa kapinda mgongo hata kusimama sawa hawezi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
IMG_20180325_012750_253.JPG
 
Sasa mkenya ni wa kumlingishia mtanzania miradi, vimiradi mnavyofanya vyote tulifanya na tunazidi kufanya, nyinyi mnajengewa uwanja mmoja, sisi tunajenga viwili Arusha na Dodoma na bado tuna vingine kama Amani Zanzibar, uwanja wa taifa ambao tutaufanyia renovation. Kwa sasa tunawapiga na joka kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Soon inaanza kuoperate hii....watu watakimbia humu

Screenshot_20240909-232825~2.png
 
Unajua maana ya quack? Go and check the meaning ndio ujue why I call you a quack😂😂🤣😂
Quack has two meaning.
1)A sound made by a duck.
2)Someone who is illiterate but claims to be a medical profession.

Usidhani sijui kiingereza,ndio maana nikasema sibishani na mtu wa namna yako because I know utakua unamaanisha kimoja kati ya hivyo viwili.
 
Quack has two meaning.
1)A sound made by a duck.
2)Someone who is illiterate but claims to be a medical profession.

Usidhani sijui kiingereza,ndio maana nikasema sibishani na mtu wa namna yako because I know utakua unamaanishar kimoja kati ya hivyo viwili.
Hukujua. Again hata paraphrasing hujui😂😂😂.

You ave just copied everything from Google from first letter to the full stop. Indeed wewe ni quack😂😂
 
Back
Top Bottom