Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hii ni club ya mwarabu.
Hii ni club ya mwarabu.
Yes, and that irizar bus bus can buy how many Isuzu truck nganyas ?Hii ni club ya mwarabu.
That Irizar i6 can’t even buy one of that Gor Mahia bus na change ibaki.Yes, and that irizar bus bus can buy how many Isuzu truck nganyas ?
Go Mahia a dead clubThat Irizar i6 can’t even buy one of that Gor Mahia bus na change ibaki.
Sasa mkenya ni wa kumlingishia mtanzania miradi, vimiradi mnavyofanya vyote tulifanya na tunazidi kufanya, nyinyi mnajengewa uwanja mmoja, sisi tunajenga viwili Arusha na Dodoma na bado tuna vingine kama Amani Zanzibar, uwanja wa taifa ambao tutaufanyia renovation. Kwa sasa tunawapiga na joka kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yule mtanzakundu wa crane salamu zimfikie popote pale vingungutiView attachment 3091647View attachment 3091648View attachment 3091649
Wewe unayevaa t-shirt mpaka inalika namna hiii unaongelea usafi, au kwasababu umevaa t-shirt ya msaada from wasafi 👇👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa ukiwa mchafu usiambiwe? Enda ukaripoti polisi basi
Kumbuka huyu njamaa hajachambaWewe unayevaa t-shirt mpaka inalika namna hiii unaongelea usafi, au kwasababu umevaa t-shirt ya msaada from wasafi 👇👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3091725
Yani huwezi amini ngoma limezima Mara tano kwa mwezi na kila safari liko empty. Hata leo kitu kimezimia 👇😂😂Sasa mkenya ni wa kumlingishia mtanzania miradi, vimiradi mnavyofanya vyote tulifanya na tunazidi kufanya, nyinyi mnajengewa uwanja mmoja, sisi tunajenga viwili Arusha na Dodoma na bado tuna vingine kama Amani Zanzibar, uwanja wa taifa ambao tutaufanyia renovation. Kwa sasa tunawapiga na joka kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3091721
CCM wafinye vizuri mpaka watorokee Kenya
View: https://x.com/JamiiForums/status/1832792015064465451?t=EZjlng3RTED8Emxfho3CGQ&s=19
Muulize Tundu lissu.CCM is a System siyo mtu.
Sasa unaposema watorokee Kenya akina nani sasa hao?
Wewe elimu yako ipo chini sana. Kama ungekuwa na Elimu kichwani ungejiuliza Why CCM is the most Powerful Political Party in Africa?Muulize Tundu lissu.
Habari za hivi punde, mchongoko umepumzika ngerengere. Mafundi wako busy 😂😂😂👇
View: https://x.com/Asyer_bmt/status/1833175465432858910?t=4HKYszNRKAANSGGsdNN6zw&s=19
Mamayeee, hio ngoma itabidi ipewe Adani ama Azam 😂😂😂
View: https://x.com/shazzyzubery/status/1833173442960457944?t=snZwlmHOuD7UfaqPlA8iWg&s=19
Treni imezima badala watengeze wako busy watu wasipige picha. Karne hii umfichi mtu 😂😂😂😂👇
View: https://x.com/shazzyzubery/status/1833176931136578029?t=8YGKyjQnnkQlovqmmGBxZA&s=19