ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ama kweli punda anakufa SASA, punda anaomba maji ya kutolea roho 😅😅😅😅Direct from the mouth of the horse 🤣🤣🤣🤣
Ama kweli punda anakufa SASA, punda anaomba maji ya kutolea roho 😅😅😅😅Direct from the mouth of the horse 🤣🤣🤣🤣
Wewe unacho kibandiko kingine cha World Bank zaidi ya kile? 🤣🤣🤣🤣Kile kibandiko cha World Bank cha 2017 kilienda wapi sikuhizi hawakileti ?? View attachment 3085131View attachment 3085132
😅😅😅😅 Sisi ni supa pawa ila tunajinyea
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1830678213946732583?t=UcndVewr2uMfldRWc9kdGA&s=19
Sisi watanzania tumshukuru Mungu kwakweli kwa sasa mambo ya blackout yamepungua sana kama sio kuisha kabisa.Big brainnnn, SINGAPORE YA EA, Supepawaa ya blackout.
Alafu wanavyokaza mafuvu humu asee
Siku hizi wanaona aibu kusema huu uongo😎😎Hata JPM alifia kwao kwa sababu wana huduma nzuri
Jamani Nairobi mmepaonaaa!?🤣🤣
View: https://x.com/Alfayaz11/status/1830542723096469885?t=0xEGLG4Mr2eYrbgE-Un8bA&s=19
Kama hii ni level 4 basi munasafari ndefu Sana kwenye hospitali 😅😅😅😅Keroka Level 4 Hospital done by KDF.
View attachment 3085368
View attachment 3085370
View attachment 3085372
Yemen iko na hospitali?Kama hii ni level 4 basi munasafari ndefu Sana kwenye hospitali 😅😅😅😅
😅😅😅😅😅 Umepanic tayariYemen iko na hospitali?
Hapana hao ni Zombies of Nairobi hata wewe nafikiri upo kundi hiloHii ni kazi ya wale watanzania omba omba. Those are their sacks, I think that day they forgot to carry them after work.
Macho Yao yote Tanzania 😅😅😅😅
Yani Tanzania ndio SASA inapigiwa mfano kwenye nchi Yao unlike 15yrs ago maneno haikua hvo, kweli mbwa anakufa SASA
View: https://x.com/ntvkenya/status/1830684737943306268?t=SU-Enc6Q1IAX8oLet2U5tA&s=19
ngoja atajipata anarudi mikono tupu!Kaenda kwenye mkutano ambao Rais wa Tanzania ndiye ataongelea masuala ya East Africa.
Yaani State Visit unavaa sweta, Diplomasia ya Kenya ni zero kabisa.
Uvaaji wa namna hiyo upo na tafsiri nyingi sana kwenye uwanja wa International Politics and Diplomacy.
Maana yake mmewadharau sana wachina