President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,353
Sisi tupo na TANZANIA MUSIC AWARDS wao wapo na nini?
Mzee sisi tunakubalika kila mahali, hatuna nyota ya kukataliwa.Watu wa NATO wanasemaje kuhusu Hili?
Check diplomatic dressing. President of SAHii imekaaje, wewe huogopi?? Mchina hua hana maneno mengi ni deals tu! View attachment 3085168
Mzee sisi tunakubalika kila mahali, hatuna nyota ya kukataliwa.
Hebu geuka nyuma tukuone. Je nyuma umepigwa pasi au upo na nundu?Naiona UMOJA retail ndani ya kisumu. Sama boy 255 umepata kiwanda cha African girl ???
View attachment 3085180
Kwakweli hapo kazingua, huwezi kuvaa vile especially ni raisi kutoka taifa maskini, yani unaenda kuomba pesa alafu unavaa bila heshima? Hapo President Ruto kaharibu kabisa.Kaenda kwenye mkutano ambao Rais wa Tanzania ndiye ataongelea masuala ya East Africa.
Yaani State Visit unavaa sweta, Diplomasia ya Kenya ni zero kabisa.
Uvaaji wa namna hiyo upo na tafsiri nyingi sana kwenye uwanja wa International Politics and Diplomacy.
Maana yake mmewadharau sana wachina
😅😅😅😅 mpaka Leo bado wanamuota
View: https://x.com/Ferdinandmulimi/status/1638757938331353089?t=t6yEsTrjMtYk2kmjEaLuwA&s=19
Bibi titi suluhu anajua kuvaa? 😂😂😂Kwakweli hapo kazingua, huwezi kuvaa vile especially ni raisi kutoka taifa maskini, yani unaenda kuomba pesa alafu unavaa bila heshima? Hapo President Ruto kaharibu kabisa.
Kumbe unaumia hadi unaita African girl.? 😂😂😂😂Umekosa kiwanda cha African girl ??
Mwalimu wangu wa International Relations alinieleza hivi:Kwakweli hapo kazingua, huwezi kuvaa vile especially ni raisi kutoka taifa maskini, yani unaenda kuomba pesa alafu unavaa bila heshima? Hapo President Ruto kaharibu kabisa.
Who is boaz, mmeanza kuvimbiwa na uharo 😂😂
Hahahaaaa utoto huu 😅😅😅😅