Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukatuni wa watanzakundu bana
😂😂😂, yani Ku print shati African boy sasa ndio brand kubwa kwao. Wacha nikupe brand moja tu inaitwa UMOJA Ina outlets na kila aina ya kiatu made in kenya View attachment 3085114View attachment 3085115View attachment 3085120View attachment 3085126View attachment 3085127View attachment 3085128View attachment 3085129View attachment 3085116View attachment 3085117
Nani anajua hii takataka.? 😂😂😂😂 zinaizwaga wapi.?
 
Hii imekaaje, wewe huogopi?? Mchina hua hana maneno mengi ni deals tu!
IMG_20240902_183053.jpg
 
Hii imekaaje, wewe huogopi?? Mchina hua hana maneno mengi ni deals tu! View attachment 3085168
Kaenda kwenye mkutano ambao Rais wa Tanzania ndiye ataongelea masuala ya East Africa.

Yaani State Visit unavaa sweta, Diplomasia ya Kenya ni zero kabisa.

Uvaaji wa namna hiyo upo na tafsiri nyingi sana kwenye uwanja wa International Politics and Diplomacy.


Maana yake mmewadharau sana wachina
 
Hii imekaaje, wewe huogopi?? Mchina hua hana maneno mengi ni deals tu! View attachment 3085168
President is a definition of your Country


Kudharau au Kutojali Misingi ya Kidiplomasia: Katika baadhi ya matukio, kitendo hiki kinaweza kuchukuliwa kama kudharau au kutojali itifaki za kidiplomasia. Viongozi wa kitaifa kwa kawaida wanatarajiwa kufuata kanuni za mavazi rasmi, haswa katika matukio ya kidiplomasia, na hivyo kukiuka kanuni hizi kunaweza kuonekana kama kutoheshimu mwenyeji au hadhi ya nafasi yao.
 
Back
Top Bottom