concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,314
- 14,357
Upo nyuma sana ya muda mdogo wangu. Ommy Dimpozi alishafanya hivyo miaka miwili iliyopita. 🤣 🤣 🤣 🤣
View: https://youtu.be/2DuO5cSShes?si=NwSpUjtH6Jc3H0JZ
Hata wavietnam waliachana nazo😂😂😂Haya masufuria ya WW1 bado yapoView attachment 3084355
Hiyo issue tuliongea juzi. Mpigie simu Teargas na NairobiWalker aka KiberaWalker wakupe majibu.Wewe kilaza hiyo ni page ya Manchester United? Unaliganisha mtu anayetambuliwa na club na chokoraa aliyeenda kupiga chabo na hatumbuliki?
Beautness?!🤣🤣🤣Hakuna mtu atakataa kama hili eneo si sehemu ya Arusha. But just know that Arusha is better kuliko hata mombasa, on matters of dvt and beautness
Wewe myemen hauchoki kusema render to every Kenyan project na mwiahowe unaibika?So from slum to render 🤣🤣🤣🤣🤣
Liwale kulikuwa na mpango wa kujenga bus terminal mpya last year, nafikiri kwa sasa itakuwa ilishakamilika 👇👇
View: https://youtu.be/0OvzK0BZNys?si=3THUiyEArdMmwkT7
View: https://youtu.be/xZIOA1NVpDM?si=ZGjOb9ozvkxUKJPr
stendi ya manispaa ya ilemela tu tena halmashauri, natafuta stendi ya Mombasa super city siioni. link pleaase😉😉😉😉
Halafu ni guided missile hizo balaa.Hivi ngoma naona mpya hazina hata tope 😁
Baba kashapata kazi AU 🤣🤣🤣🤣SASA wale GenZ KAZI Yao ya kuandamana ilikua nini??🤣🤣🤣🤣 Au ni njaa tu
samahani bos kwanza nilete hii
View: https://youtu.be/BPJb8fIYS3A?si=nGAPLwIcY0FRVBxF
stendi kuu ya mabasi ya wilaya ya Nanyumbu yenye GDP ya 1.1mil usd au tzs 3.2BIL.
Hakuna kitu watafanikiwa 🤣🤣🤣🤣
Ruto Hana pesa kwa SASA ya kuweka hata AC moja JKIA
![]()
Aviation workers in JKIA protest over Adani deal, flight delays reported
Aviation workers under the Kenya Airports Authority (KAA) on Monday held a demonstration at the Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).www.citizen.digital
View: https://x.com/ntvkenya/status/1830559554276343835?t=AhXj9OmJX_7NXTykVk8Ryw&s=19
Genzii wamebaki kupiga miayo tu😎😎Baba kashapata kazi AU 🤣🤣🤣🤣
Huyo msanii wao kuna kipindi alikua ameolewa na Joho, kula na kulala kwa 001 .usiku anapewa vitu moto moto 😂😂Wewe kilaza hiyo ni page ya Manchester United? Unaliganisha mtu anayetambuliwa na club na chokoraa aliyeenda kupiga chabo na hatumbuliki?
View: https://x.com/boaz_keino/status/1638759557164855297?t=bWh9xwU6hxT0Ww71VIZUIw&s=19 huyu inawezekana ni mkunya member wa humu ila akifika kule x akili inamrudia