Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo.com 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/C_Xf_but1aO/?igsh=MWEwZjF2emI5ODVhbA==. Kenya Walete vile vianajeshi vioga tuvimalize mara moja

1725195632074.png
 

Hawa wakunya wanatuchanganya Mara wao ni matajiri kuliko Bongo, Mara serikali ina pesa nyingi like WTF.

Bongo serikali yenye hiyo bajeti ndogo zaidi ya Kenya ina Elimu bure hadi Form four, Advance inanunua chakula cha wanafunzi, Chuo inatoa mikopo kwa wanafunzi wa hali ya chini.

Sasa linch lenye GDP kubwa, Wananchi matajiri kutwa kulalamika barabarani maisha magumu hawawezi mudu vitu like WTF.
Kibaya zaidi siku nyingine ni UNGA dah.

Kuna EXPERSSWAY inawekwa humu kila kukicha ila juu nyeupe pepepeee.
Chini kuna Lundo la Magari kisa kulipia.

Utajiri wao upo wapi?
 
Vision ya Nchi inasemaje kwenye self sufficient economy?
Mpaka kila siku nchi matatizo yale yale

Nakumbuka tulianza na UHURU NA KAZI

Ili kuifanya nchi ijitosheleze chakula na kupunguza utegemezi wa chakula,

Tukaja ARUSHA DECLARATION (Ujamaa and Self Reliance) ndio kuanzisha viwanda vya kila aina nchini kuweka mfumo imara wa uchumi wa kujitengemea. Licha wa watu kukosoa lakini kipindi hicho tulianzisha Sera nyingi ambazo ni foundation ya Tanzania hii pia zingine zimeifanya Tanzania inufaike hadi leo moja ni FOREIGN POLICY, mbili AGRICULTURAL POLICY, LAND OWNERSHIP, NATURAL RESOURCES MANAGEMENT.

Kucorrect sera hizo tukaja na TANZANIA DEVELOPMENT VISION 2025 wakiona BRT wanajua tumekurupuka?.

Sema CCM wapumbavu manina zao ilitakiwa kila changes za vision yale mema ya vision iliyopita yaendelezwe mabaya yafanyiwe kazi yasijirudie especially AZIMIO LA ARUSHA iwe jua au mvua hawakupaswa kukubali sharti la kupunguza production ya viwanda, na kuvipoteza kabisa kisa STRUCTURAL ADJUSTMENT PROGRAM ya IMF na WB.

Tunakuja kumbuka viwanda muda umeenda na tunajenga vile vile vilivyobinafsishwa na ukiangalia vingine vilikua better.

Hao wakunya bana njaa mpaka leo ndio nauliza hakuna Vision toka UHURU ya kumaliza njaa?
 
Wakati wa UHURU NA KAZI
Serikali iliangalia kukabiliana na mfumuko wa Bei ya vyakula na mafuta.

Kama solution ya Mafuta TIPER (Tanzanian and Italian Petroleum Refinery) Limited

Ilianzishwa mwaka 1966 kwa Joint ownership kati ya AGIP na Tanzania government.

Remember ilikua refinery, tulikua tunaimport Crude oil na kutoa kila aina ya mafuta, 1997 TIPER ilikua inasaidia 30% ya mafuta ya ndani.

Baada ya SAP (Structural adjustment programme) walisema inakula pesa so isitishwe Refinery ikafungwa now ni OIL TERMINAL (TIPER TERMINAL)

NDIO MAANA NIMESEMA PIGA UA HATA KAMA WB NA IMF wasemeje ilipaswa kubaki now ingekua na msaada mkubwa sana.

Kitu kama hiyo mijitu iliyosoma hadi chuo kikuu na kujiita inaelimu kipindi inajifanya kujua English kama wakunya iliacha kiende mbali mradi wapokee mkopo.

Viongozi wetu Ilitakiwa WAWE NA HIZO VISION wajifunze downfall na mema yake ili tusiwe tunarudia ujinga

Hawaoni nchi zote zilizo developed zina something that back their economy no matter what hawatoi kwa nchi nyingine kizembe.
 
Upo nyuma sana ya muda mdogo wangu. Ommy Dimpozi alishafanya hivyo miaka miwili iliyopita. 🤣 🤣 🤣 🤣


View: https://youtu.be/2DuO5cSShes?si=NwSpUjtH6Jc3H0JZ

Wewe ni fala, Ommy Dimpoz hakuna alichofanya zaidi ya kuenda karibu na Old Trafford na kupiga picha nje ya gate na pia kungoja players kwa parking bay hili apige nao picha😂🤣.

Show me anywhere penye Manchester United recognized Ommy Dimpoz🤣🤣😂🤣😂.
 
Back
Top Bottom