Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni fala, Ommy Dimpoz hakuna alichofanya zaidi ya kuenda karibu na Old Trafford na kupiga picha nje ya gate na pia kungoja players kwa parking bay hili apige nao picha😂🤣.

Show me anywhere penye Manchester United recognized Ommy Dimpoz🤣🤣😂🤣😂.
Kwahiyo Insta Story ya Man United ilijipost yenyewe? 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwahiyo Insta Story ya Man United ilijipost yenyewe? 🤣 🤣 🤣 🤣
Don’t you know that you can change your name to Manchester United even right now?😂🤣😂.

Show us their tweet recognizes that Ommy Dimpoz, tweet will always last forever for everyone to see unless deleted.
 
Don’t you know that you can change your name to Manchester United even right now?😂🤣😂.

Show us their tweet recognizes that Ommy Dimpoz, tweet will always last forever for everyone to see unless deleted.
Kijana tulishatoka huko. You are outdated

1725202607007.png
 
Naona pia kwenye Vifaa vya Jeshi camouflage inang’aa kidogo au imebadilika kidogo kama kuna vitu vipya vingi vimekuja. 😎
Meli iliyokuja kutoka China kwaajili ya matibabu na zingine zilikuja kwaajili ya mazoezi. Nadhani zilileta zana ambazo hazijawekwa kwenye display.

Hebu check hii hapa kwa karibu. It seem something from china

1725203985654.png
 
Wow adani Naskia moja ya masharti hawaruhusiwi kuendeleza airport yoyote Kenya nzima 😂😂😂😂😂😂

Masharti ambayo Magu aliyakataa kupitia bagamoyo port 😂😂😂
View attachment 3084088
Na wanaamini sisi tumeuza bandari, hawajui ukiuzia mtu kitu anakuzuia usiwe na upenyo.

Dar Port ingeuzwa, ports nyingine wangeweka hayo masharti alafu toka lini Port iuzwe kwa watu wa wiwili kwa mpigo DP na Adani?

So ni waliopewa tu magati kuongeza ufanisi.

Though ni ujinga sana kwa serikali kushindwa simamia na kugawa lango.kuu la nchi kwa wengine.
 
Back
Top Bottom