President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Yes nimefanya confirmation. Also nasikia JKT wa mwanzo kabisa walipata mafunzo toka IsraelNdio MG Galil Rifle yenyewe hii. Haya ni mambo ya Israel.
Yes nimefanya confirmation. Also nasikia JKT wa mwanzo kabisa walipata mafunzo toka IsraelNdio MG Galil Rifle yenyewe hii. Haya ni mambo ya Israel.
Hayo macho yako yadonate kwa kipofu mwenye kichwa cheenye uwezo wa kuyatumia. Ni upotevu wa resources kuendelea kubaki kwenye hilo bichwa lakoView attachment 3083627
Ni 👆 👆 kama mtaro ya kupeleka maji taka hehehe.., yaani haiwezi kubeba double stalk.., mko hovyo! such tunnels are suitable for passenger trains, viongozi wenu wanaacha wapi akili zao wakati wana plan such??.., ikija SGR line hadi ndani ya port, yaani mizigo inatoka kwa meli direct kwa SGR,., nyie bado sana, mnajenga hadi waleo, miaka zaidi ya saba, kisha mmejenga kifala sana.., tunnel!
Mombasa
View attachment 3083623
View attachment 3083624
View attachment 3083625
View attachment 3083626
Hiyo ya chini wameongeza nyingine au?Hii inaitwa Saba saba. Wanaijua huko Congo na Uganda
View attachment 3084290
Kaka yake huyu hapa:
View attachment 3084291
Hizo zinaitwa A-100 multiple rocket launcher. Ni the same. Zitakuwa zimeongezwa
I see someone educated you how to show off your military… this much better..but I miss the firewood and sufuria days..😂😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kundustan umeziona hizo WI ARAD from Israel?I see someone educated you how to show off your military… this much better..but I miss the firewood and sufuria days..😂😂😂
Safi sana East Africa imejaribu, kwani huyu jamaa bado anakimbia? Ana miaka mingapi huyu mkuu?Hii ikitokea Vumbistan Dunia itasimama.😂😂😂
View attachment 3084401
🤣🤣🤣 huyu mama kweli mwanajeshi...if you know what I meanMeli iliyokuja kutoka China kwaajili ya matibabu na zingine zilikuja kwaajili ya mazoezi. Nadhani zilileta zana ambazo hazijawekwa kwenye display.
Hebu check hii hapa kwa karibu. It seem something from china
View attachment 3084403
They cut my privileges too after I made a comment about ATCL… yet some of them insult us here every day.. sensitive much!..😂😂Thanks lakini Hata sikupigwa ban. They just denied me privileges of commenting in this thread, zile zingine Nilikuwa naezacommend but I chose seat back. Hata hii thread pia hiyo restriction iliisha on 29th August 23:59PM😂😂🤣😂.
Sergeant Major aka Ser Major, waliopita JKT wanawajua hawa. 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣🤣 huyu mama kweli mwanajeshi...if you know what I mean