Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sina update
runway tayari ishajengwa kwani wewe unaishi dunia ipi?

GMz7i1RXwAA03zU

View: https://x.com/Halima_nyab/status/1829495707491094928

View: https://x.com/WizarayaUJ/status/1810707214191173666
 
Mwandishi wao wa habari ameamua awe muwazi maake hamna namna wamedanganywa sana wakitoka na kufika Tanzania paaa haaaa hawamini macho yao na kile wanacho ambiwa mwisho wa siku wataanza kuandamana kuwa wanadanganywa kuwa wako mbele ya Tanzania
Nimeona mwingine anapambana na mimi badala akapambane na huyo muandishi wao wa habari. 😂😂😂
 
This is exactly what Tanzania did and continue doing.., umeiba kauli yangu, niliwaambia hili kitambo, unabadilisha iwe eti ni Kenya.., Tanzania haikua na mpango wa SGR kabla ya Kenya kilaza., ndio maana mlikurupuka na mradi na mizigo hamuna, sasa imekua ya kupiga route za daladala.., freight haiwezi kuiletea faida ya kuruduisha deni, mwehu.., nyambaff!
Umeona kitu inafanywa huwezi pata Africa nzima over 3km train ya umeme ya mizigo inapita chini kwa chini mpaka inatokezea dar port 😂😂😂😂
Screenshots_2024-06-06-19-46-17.png
Screenshots_2024-06-06-19-46-37.png
Screenshots_2024-06-06-19-48-52.png
Screenshots_2024-06-06-19-49-05.png
 
Wewe bado kilaza hii miaka yote! Kikwete alipata fununu za SGR kutoka Kenya, Kenya ilitaka kumuhusisha, ila kama kawaida ya akili za CCM akarudi nyuma, ndio Coalition of the willing ikabuniwa, CoW, yule mwoga na wenye wivu wakaachwa nyuma, kama mnavyo sita sita na EAC political federation, wewe na umwehu wako hauniambii lolote, kwa vile haujui lolote!!..,
Mizigo ya kutosha mtatoa wapi? kwa vile data ya port yenu iko wazi sana? niondolee umwehu wako humu.., mko hovyo, mtaendelea kupiga route za dala dala kwa miaka mingi ata mkikamilisha mradi(kama ilivyo ATCL kwa wingi), kama hamuna mizigo ya kupeleka Morogoro kwa faida ndio ya Mwanza mtapata? ama kutoa Mwanza hadi port mna nini hiyo ya ku export kwa wingi? ngojeni pipeline ya mafuta ya Museveni sio kwa SGR hehehehe..,
Wivu debe, poleni, na kaburi la Cow mmeshajengea au bado maana mizimu inawatesa 😆
 
Wewe bado kilaza hii miaka yote! Kikwete alipata fununu za SGR kutoka Kenya, Kenya ilitaka kumuhusisha, ila kama kawaida ya akili za CCM akarudi nyuma, ndio Coalition of the willing ikabuniwa, CoW, yule mwoga na wenye wivu wakaachwa nyuma, kama mnavyo sita sita na EAC political federation, wewe na umwehu wako hauniambii lolote, kwa vile haujui lolote!!..,
Mizigo ya kutosha mtatoa wapi? kwa vile data ya port yenu iko wazi sana? niondolee umwehu wako humu.., mko hovyo, mtaendelea kupiga route za dala dala kwa miaka mingi ata mkikamilisha mradi(kama ilivyo ATCL kwa wingi), kama hamuna mizigo ya kupeleka Morogoro kwa faida ndio ya Mwanza mtapata? ama kutoa Mwanza hadi port mna nini hiyo ya ku export kwa wingi? ngojeni pipeline ya mafuta ya Museveni sio kwa SGR hehehehe..,
Sisi hatujengi kwa mihemko tunajenga kwa malengo na mikakati maalumu 😂😂😂😂😂

Ndio maana nilikwambia mumeenda mbio na SGR alaf mukaangukia pua haya kiko wapi mumekalia kusubiri makosa ya SGR Tanzania baada ya kwenu kufeli kabisa 😂😂

Hio SGR yenu toka ianze KAZI mpaka Leo haijawah kutengeza even single cent kama faida na bado mchina anadai pesa ambayo hata ikifanya KAZI miaka 100 haiwez Rudisha pesa ya mchina 😂😂😂😂😂

Kwan huna habari kama lot 5 hvi SASA ziko ndani ya construction kuelekea kigoma na mwanza 😂😂😂😂😂

Hio ya kwenu imeishia wapi mpaka SASA ??
 
This is exactly what Tanzania did and continue doing.., umeiba kauli yangu, niliwaambia hili kitambo, unabadilisha iwe eti ni Kenya.., Tanzania haikua na mpango wa SGR kabla ya Kenya kilaza., ndio maana mlikurupuka na mradi na mizigo hamuna, sasa imekua ya kupiga route za daladala.., freight haiwezi kuiletea faida ya kuruduisha deni, mwehu.., nyambaff!
Sgr was an East Africa agreement wakati wa Mkapa Kibaki na Mseven. The process started wakati huo wa mkapa.
On second note nani kaiga mwenzake kwa BRT?
 
This is exactly what Tanzania did and continue doing.., umeiba kauli yangu, niliwaambia hili kitambo, unabadilisha iwe eti ni Kenya.., Tanzania haikua na mpango wa SGR kabla ya Kenya kilaza., ndio maana mlikurupuka na mradi na mizigo hamuna, sasa imekua ya kupiga route za daladala.., freight haiwezi kuiletea faida ya kuruduisha deni, mwehu.., nyambaff!
Rudi hapa 👇 uelewe mchakato ulipoanzia usirukie vitu ambavyo hujui.
 
Back
Top Bottom