Kichefuchefu wao
Member
- Aug 29, 2024
- 61
- 190
Hawa nyumbu ndiyo watalii? Au sijakuelewa mkuu?
Wewe mwehu kabisa wazo la SGR limeanza kwa kikwete na ilikua Aanze awamu yake ya mwisho lakini muda wake ulikua umeisha ndio akaanza magufuli na nyinyi mulivosikia Tanzania inampango ya SGR ndio mukakimbia china kwenda kuingia mkataba ya ovyo kuwahi kutokea duniani 😂😂😂😂This is exactly what Tanzania did and continue doing.., umeiba kauli yangu, niliwaambia hili kitambo, unabadilisha iwe eti ni Kenya.., Tanzania haikua na mpango wa SGR kabla ya Kenya kilaza., ndio maana mlikurupuka na mradi na mizigo hamuna, sasa imekua ya kupiga route za daladala.., freight haiwezi kuiletea faida ya kuruduisha deni, mwehu.., nyambaff!
Soma mada uelewe usikurupukeHawa nyumbu ndiyo watalii? Au sijakuelewa mkuu?
Natumai umemjibu vizuri na ameridhika kabisa.Wewe mwehu kabisa wazo la SGR limeanza kwa kikwete na ilikua Aanze awamu yake ya mwisho lakini muda wake ulikua umeisha ndio akaanza magufuli na nyinyi mulivosikia Tanzania inampango ya SGR ndio mukakimbia china kwenda kuingia mkataba ya ovyo kuwahi kutokea duniani 😂😂😂😂
Haya ona Leo munavoaibika, mchina kawapelekea pumzi ya Moto mpaka Leo hamuna hamu nayo, mumekalia kutafuta kasoro za SGR ya Tanzania ili mupate matumaini na faraja, haya kiko wapi😂😂😂
Sisi Nye Nye nyeee, wewe unataka freight uanze VP wakat miundombinu yake haijakamilika kuelekea port au hujui kama treni ya umeme itapita chini kwa chini mpaka inatokezea port 😂😂😂😂😂 hakuna miundombinu kama hii africa nzima mzee
Yani munaharaka kweli na SGR Tanzania na sijui kwann munaumia Sana Kias hichi
Naona bado unaumia. 🤣 🤣 🤣Onesha yako mbuzi wewe unadharau kitu wakat huna hata baiskeli 😂😂😂😂
Nyinyi sio sisi, sisi sio nyinyi. Kiakili tuko tofauti kabisa.Mkuu huku mnapotaka kwenda kwa sisi waafrika bado sana kaka, sisi bado tunasumbuliwa na njaa na umaskini uliokithiri, hii demokrasia mnayotaka ndugu zetu mtaipata miaka 200 ijayo pale njaa itakapokuwa imetoweka. Kwa sasa waafrika tuishi kwenye zone yetu, tusiige developed Nations.
Naona Data Center iko finishing touches..,Wale wa show us even an inch of Konza City wako wapi sasa!?
View attachment 3083176View attachment 3083177View attachment 3083178View attachment 3083180View attachment 3083183View attachment 3083184View attachment 3083185View attachment 3083186View attachment 3083187
Wale machinga wanaharibu interface ya mbezi mwisho,halafu serikali inawaangalia tuWell said Bro. RIP The Late President John Joseph Pombe Magufuli, hakuna sehemu ambayo huwa namkumbuka huyu mzee kama nikipita barabara ya Ubungo- Kibaha hasa sehemu ya Mbezi Mwisho, usipozoea ule mzunguko wa zile barabara za juu unaweza potea fasta tu, imagine miaka 10 iliyopita sehemu ile ilivyokuwa na Jam moja yenye stress isiyoelezeka. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Tutaonana Baadae🧚🏾♂️
Wewe bado kilaza hii miaka yote! Kikwete alipata fununu za SGR kutoka Kenya, Kenya ilitaka kumuhusisha, ila kama kawaida ya akili za CCM akarudi nyuma, ndio Coalition of the willing ikabuniwa, CoW, yule mwoga na wenye wivu wakaachwa nyuma, kama mnavyo sita sita na EAC political federation, wewe na umwehu wako hauniambii lolote, kwa vile haujui lolote!!..,Wewe mwehu kabisa wazo la SGR limeanza kwa kikwete na ilikua Aanze awamu yake ya mwisho lakini muda wake ulikua umeisha ndio akaanza magufuli na nyinyi mulivosikia Tanzania inampango ya SGR ndio mukakimbia china kwenda kuingia mkataba ya ovyo kuwahi kutokea duniani 😂😂😂😂
Haya ona Leo munavoaibika, mchina kawapelekea pumzi ya Moto mpaka Leo hamuna hamu nayo, mumekalia kutafuta kasoro za SGR ya Tanzania ili mupate matumaini na faraja, haya kiko wapi😂😂😂
Sisi Nye Nye nyeee, wewe unataka freight uanze VP wakat miundombinu yake haijakamilika kuelekea port au hujui kama treni ya umeme itapita chini kwa chini mpaka inatokezea port 😂😂😂😂😂 hakuna miundombinu kama hii africa nzima mzee
Yani munaharaka kweli na SGR Tanzania na sijui kwann munaumia Sana Kias hichi
Bado umelala usingizi wa kinyang'au?😎😎Wewe bado kilaza hii miaka yote! Kikwete alipata fununu za SGR kutoka Kenya, Kenya ilitaka kumuhusisha, ila kama kawaida ya akili za CCM akarudi nyuma, ndio Coalition of the willing ikabuniwa, CoW, yule mwoga na wenye wivu wakaachwa nyuma, kama mnavyo sita sita na EAC political federation, wewe na umwehu wako hauniambii lolote, kwa vile haujui lolote!!..,
Mizigo ya kutosha mtatoa wapi? kwa vile data ya port yenu iko wazi sana? niondolee umwehu wako humu.., mko hovyo, mtaendelea kupiga route za dala dala kwa miaka mingi ata mkikamilisha mradi(kama ilivyo ATCL kwa wingi), kama hamuna mizigo ya kupeleka Morogoro kwa faida ndio ya Mwanza mtapata? ama kutoa Mwanza hadi port mna nini hiyo ya ku export kwa wingi? ngojeni pipeline ya mafuta ya Museveni sio kwa SGR hehehehe..,