Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View: https://x.com/TBoundBuses/status/1829752263130145070?t=PVGDe4dJF9lc1ngkJDjGcA&s=19
20240831_103526.jpg
20240831_103532.jpg
20240831_103746.jpg

20240831_104634.jpg
20240831_104628.jpg
 
Wakenya wanapenda Sana kufanya miradi ya mashindano bila kuzingatia tija na umuhimu kwa wakat husika 😂😂😂

Hata SGR walikimbia kujengewa baada ya kusikia Tanzania ina mpango huo ona SASA walichokipata ni deni ambalo haliwez kulipika hata miaka 50 na mpaka Leo SGR Yao haijaingia hata sent 1 faida zaidi ya Kula hasara mpaka zaidi ya 10b kwa nusu mwaka 😂😂😂😂

Wakenya wanapenda sifa waonekane wako vzr kumbe wanakufa ndani kwa ndani
This is exactly what Tanzania did and continue doing.., umeiba kauli yangu, niliwaambia hili kitambo, unabadilisha iwe eti ni Kenya.., Tanzania haikua na mpango wa SGR kabla ya Kenya kilaza., ndio maana mlikurupuka na mradi na mizigo hamuna, sasa imekua ya kupiga route za daladala.., freight haiwezi kuiletea faida ya kuruduisha deni, mwehu.., nyambaff!
 
Jaribu hii kwa mama suluhu ukujiwe usiku ukatwe makende. Vumbistan still living in the middle ages.
Mkuu huku mnapotaka kwenda kwa sisi waafrika bado sana kaka, sisi bado tunasumbuliwa na njaa na umaskini uliokithiri, hii demokrasia mnayotaka ndugu zetu mtaipata miaka 200 ijayo pale njaa itakapokuwa imetoweka. Kwa sasa waafrika tuishi kwenye zone yetu, tusiige developed Nations.
 
This is exactly what Tanzania did and continue doing.., umeiba kauli yangu, niliwaambia hili kitambo, unabadilisha iwe eti ni Kenya.., Tanzania haikua na mpango wa SGR kabla ya Kenya kilaza., ndio maana mlikurupuka na mradi na mizigo hamuna, sasa imekua ya kupiga route za daladala.., freight haiwezi kuiletea faida ya kuruduisha deni, mwehu.., nyambaff!
😅😅😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom