Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 3083627
Ni 👆 👆 kama mtaro ya kupeleka maji taka hehehe.., yaani haiwezi kubeba double stalk.., mko hovyo! such tunnels are suitable for passenger trains, viongozi wenu wanaacha wapi akili zao wakati wana plan such??.., ikija SGR line hadi ndani ya port, yaani mizigo inatoka kwa meli direct kwa SGR,., nyie bado sana, mnajenga hadi waleo, miaka zaidi ya saba, kisha mmejenga kifala sana.., tunnel!

Mombasa
View attachment 3083623
View attachment 3083624
View attachment 3083625
View attachment 3083626
Imagine over 3km treni ya umeme ya mizigo inapita chini ya jiji mpaka inatokeza port 😂😂

Hakuna infrastructure kama hio Africa nzima kaka najua Inauma ila vumilia plz
 
View attachment 3083627
Ni 👆 👆 kama mtaro ya kupeleka maji taka hehehe.., yaani haiwezi kubeba double stalk.., mko hovyo! such tunnels are suitable for passenger trains, viongozi wenu wanaacha wapi akili zao wakati wana plan such??.., ikija SGR line hadi ndani ya port, yaani mizigo inatoka kwa meli direct kwa SGR,., nyie bado sana, mnajenga hadi waleo, miaka zaidi ya saba, kisha mmejenga kifala sana.., tunnel!

Mombasa
View attachment 3083623
View attachment 3083624
View attachment 3083625
View attachment 3083626
we fala unataka tuige kwenu bila kuangalia design ipi inafaa kwetu kwa kuangalia mazingira yaliopo interchange? Wee ni mpumbavu aisee!
 
View attachment 3083627
Ni 👆 👆 kama mtaro ya kupeleka maji taka hehehe.., yaani haiwezi kubeba double stalk.., mko hovyo! such tunnels are suitable for passenger trains, viongozi wenu wanaacha wapi akili zao wakati wana plan such??.., ikija SGR line hadi ndani ya port, yaani mizigo inatoka kwa meli direct kwa SGR,., nyie bado sana, mnajenga hadi waleo, miaka zaidi ya saba, kisha mmejenga kifala sana.., tunnel!

Mombasa
View attachment 3083623
View attachment 3083624
View attachment 3083625
View attachment 3083626
tuonyeshe train wash facilities zenyu!
 
Rais Samia kusaka fedha za miradi minne China

Jumamosi, Agosti 31, 2024
samia-2-pic.jpg

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (kushoto) akiwa na Rais wa China Xi Jinping. Picha na Mtandao

By Baraka Loshilaa

Muktasari:​

  • Akiwa nchini China, Rais Samia atafanya mkutano na Rais Xi Jinping kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasilisha miradi minne kwa Serikali ya China kwa lengo la kupatiwa fedha za mkopo nafuu na msaada ya utekelezaji wake.

Anatarajia kuiwasilisha katika mkutano wa kilele wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), ambalo kwa miongo zaidi ya miwili sasa limekuwa likitumiwa na wakuu wa nchi za Afrika kwa madhumuni yanayofanana na hayo.

Miradi minne itakayowasilishwa na Rais Samia kwenye mkutano huo ni ujenzi wa mtandao wa mawasiliano vijijini awamu ya pili, ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa kilovoti 400 awamu ya pili na ya tatu, ujenzi wa vyuo vya ufundi stadi (Veta) awamu ya pili na ujenzi wa barabara za Zanzibar zenye urefu wa kilomita 277.

Taarifa hiyo imetolewa leo Agosti 31, 2024 na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam kuhusu ziara ya Rais Samia China.

"Tanzania inatarajia kuwasilisha miradi mbalimbali ikiwemo mipya na ile ambayo haikuweza kutelezwa kwenye mpango uliopita wa FOCAC kwa sababu mbalimbali, ili iweze kupatiwa fedha za mkopo nafuu na msaada na kutekelezwa chini ya mpango kazi wa FOCAC mwaka 2025-2027," amesema.

Balozi Kombo ametaja malengo matatu ya Tanzania kushiriki mkutano huo; mosi ni kuendelea kudumisha ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na China ambao mwaka huu umetimiza miaka 60.

Jambo la pili ni kujadiliana na kukubaliana na Serikali ya China namna ya kuendelea kuongeza ushirikiano katika maeneo ya kipaumbele kama sekta ya miundombinu, mifumo ya chakula, biashara na uwekezaji, kubadilishana ujuzi, upatikanaji wa nishati safi na salama na kusaidia ujenzi wa uchumi wa kidijitali.

"Pia kuibua fursa mpya za ushirikiano kwa manufaa ya pande zote mbili, kutangaza maboresho makubwa yaliyofanywa na Serikali katika sheria za sekta ya biashara na uwekezaji ili kuvutia wawekezaji wengi zaidi," amesema.

Akiwa China, Rais Samia atafanya mkutano na Rais Xi Jinping kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili.

"Aidha, baada ya mazungumzo hayo watashiriki hafla ya kutia saini hati za makubaliano kuhusu kuifufua Reli ya Tazara," amesema.

Balozi Kombo amesema Rais Samia atafanya mazungumzo na kampuni za China ambazo zipo tayari kufanya uwekezaji mkubwa na kufungua ofisi zao nchini Tanzania.

"Atakutana na kampuni kubwa za China kwa pamoja katika hafla ya chakula cha jioni, yenye lengo la kuhamasisha kufanya uwekezaji nchini Tanzania," amesema.

Kwa mujibu wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo uwekezaji wa China nchini umefikia Sh30 trilioni.

Aidha Tangu kuanza kwake mwaka 2000 FOCAC imewezesha miradi mikubwa ya miundombinu barani Afrika, kama vile ujenzi wa barabara, reli, viwanja vya ndege, bandari pamoja na uwekezaji katika nishati.

Ushirikiano chini ya FOCAC umeongeza biashara kati ya Afrika na China huku nchi za Afrika zikipata soko kubwa kwa bidhaa zao za kilimo, madini na malighafi nyingine, na kunufaika na uagizaji wa bidhaa za bei nafuu kutoka China.

Wale machinga wanaharibu interface ya mbezi mwisho,halafu serikali inawaangalia tu
Bro bora na wewe umeona. Nimechunguza, watu wanalipia 200,000 kwa yale mabanda. Nimepata conclusion kwamba watu wanaharibu hii nchi ni watu wa serikali za mitaa/ CCM.
Kama unakumbuka mama aluvyoingia Tu madarakani alisema wamachinga waondoke barabarani na wapangwe vizuri.

Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi serikali za mitaa. Ghafla mbezi vibanda vimeibika ndani ya miezi 2 tu. Swali ni nai anauwezo wa kwenda kinyume na maagizo ya rais? Ni CCM wenyewe! Wanajua wakubwa watakuja tu huku mashinani kuomba kura, hawatotufanya chochote maana wakiuliza tu watuwachagui kwenye kura za maoni.

Jamaa ni washenzi ssna. Ndo maana saa nyingine CCM wananiudhi.
 
Hii ni kweli kabisa...huko Bukoba mjini stendi ya mjini kati imekamilika kwa asilimia 80....ilibidi ianze kutumika mwezi wa nne....sasa amekuja kiongozi wa CCM Bukoba mjini...anataka waongeze fremu kuzunguka stendi...eneo ni finyu na bado analazimisha kuweka fremu...Na manispaa wanavyowasikiliza CCM hata hawabishi...lakini hawana bajeti ya kuweka hiz fremu...
Matokeo yake ni stendi kutoanza kutumika hadi leo september
 
Bro bora na wewe umeona. Nimechunguza, watu wanalipia 200,000 kwa yale mabanda. Nimepata conclusion kwamba watu wanaharibu hii nchi ni watu wa serikali za mitaa/ CCM.
Kama unakumbuka mama aluvyoingia Tu madarakani alisema wamachinga waondoke barabarani na wapangwe vizuri.

Mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi serikali za mitaa. Ghafla mbezi vibanda vimeibika ndani ya miezi 2 tu. Swali ni nai anauwezo wa kwenda kinyume na maagizo ya rais? Ni CCM wenyewe! Wanajua wakubwa watakuja tu huku mashinani kuomba kura, hawatotufanya chochote maana wakiuliza tu watuwachagui kwenye kura za maoni.

Jamaa ni washenzi ssna. Ndo maana saa nyingine CCM wananiudhi.
Kipindi wanaondolewa kuliwekwa hadi tangazo la zuio la biashara na kuna watu waliokaidi walipelekwa hadi mahakamani,ajabu ghafla wamerudi tena na jioni serikali ya mtaa chini ya ccm inawapitia kukusanya ushuru!
 
Back
Top Bottom