ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,252
Aesthetics btn JKIA na JNIA ni mbingu na nchi
JKIA
View: https://x.com/LarryMadowo/status/1829455320906645565?t=x5wAgMR75Eu6I_W65BvwZQ&s=19
JNIA
View: https://x.com/LarryMadowo/status/1829486751930618256?t=lMQFxqQWD1IFF-rlb6v1Sg&s=19
So do you.Exactly. You can't.
Wich point. I asked you which brand of bus do you have in Kenya? You ask me to get your point 😀 😀.You got my point. That's the most important thing. These sideshows won't change a thinge. The day you'll show me any Scania assembly plant in Tanganyika I'll start egaging you on these topics
Umenena vyema mkuu 🙏Udhubutu unalipa, naamini yule mzee angekuwepo now ni makofi kila kona. Kipindi anaanzisha haya yote tulimuona mbaya sababu alifunga mkanda (No ajira, no posho, no kufunika kombe kwenye kodi, no ujanja ujanja, no uzembe) ili mambo mengi yatekelezeke.
IMAGINE MUDA HUU ANGEKUA HOW PROUDS na Tanzania ya Viwanda baada ya kukamilisha foundation kuu ya Industrialization Energy (JNHP), Infrastructure (Kigogo Busisi, SGR, ALL PORTS RENOVATION, DAR PORT EXPANSION, BRT, AIR TANZANIA)
Raw Materials (Akiwa proudly na sheria yake ya Permanent Sovereignty ambayo kuna ujinga mwingi ilifuta hadi kuwa na Mgodi wa NICKEL TEMBO).
Naamini muda huu kungekua furaha sana.
Though kuna kitu kwenye hii battle tungekuwa tunapopolewa mawe WAMACHINGA
I HOPE VIONGOZI WA SASA WAJIFUNZE KUFANYA UTHUBUTU, ONA SASA HADI USA ANAFIKIRIA KUDIVERT ROUTE YA LOBITO.
Si lazima kusikiliza wajinga wachache wanaosifia stick to Unachokiamini kama kiongozi as long as ni chema kwa nchi.
Mchina anazidi kuwamaliza 😂😂😂
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1829590217109455067?t=PifBrw7VgEltwkHI1_Qzew&s=19
Wakenya wanapenda Sana kufanya miradi ya mashindano bila kuzingatia tija na umuhimu kwa wakat husika 😂😂😂Kwanini wakenya huwa hawamalizii miradi mkuu?
Zamani nilikuwa nadhani wapo vizuri kweli 😅😅😅😅😅😅😅😅Wakenya wanapenda Sana kufanya miradi ya mashindano bila kuzingatia tija na umuhimu kwa wakat husika 😂😂😂
Hata SGR walikimbia kujengewa baada ya kusikia Tanzania ina mpango huo ona SASA walichokipata ni deni ambalo haliwez kulipika hata miaka 50 na mpaka Leo SGR Yao haijaingia hata sent 1 faida zaidi ya Kula hasara mpaka zaidi ya 10b kwa nusu mwaka 😂😂😂😂
Wakenya wanapenda sifa waonekane wako vzr kumbe wanakufa ndani kwa ndani
Well said Bro. RIP The Late President John Joseph Pombe Magufuli, hakuna sehemu ambayo huwa namkumbuka huyu mzee kama nikipita barabara ya Ubungo- Kibaha hasa sehemu ya Mbezi Mwisho, usipozoea ule mzunguko wa zile barabara za juu unaweza potea fasta tu, imagine miaka 10 iliyopita sehemu ile ilivyokuwa na Jam moja yenye stress isiyoelezeka. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Tutaonana Baadae🧚🏾♂️Udhubutu unalipa, naamini yule mzee angekuwepo now ni makofi kila kona. Kipindi anaanzisha haya yote tulimuona mbaya sababu alifunga mkanda (No ajira, no posho, no kufunika kombe kwenye kodi, no ujanja ujanja, no uzembe) ili mambo mengi yatekelezeke.
IMAGINE MUDA HUU ANGEKUA HOW PROUDS na Tanzania ya Viwanda baada ya kukamilisha foundation kuu ya Industrialization Energy (JNHP), Infrastructure (Kigogo Busisi, SGR, ALL PORTS RENOVATION, DAR PORT EXPANSION, BRT, AIR TANZANIA)
Raw Materials (Akiwa proudly na sheria yake ya Permanent Sovereignty ambayo kuna ujinga mwingi ilifuta hadi kuwa na Mgodi wa NICKEL TEMBO).
Naamini muda huu kungekua furaha sana.
Though kuna kitu kwenye hii battle tungekuwa tunapopolewa mawe WAMACHINGA
I HOPE VIONGOZI WA SASA WAJIFUNZE KUFANYA UTHUBUTU, ONA SASA HADI USA ANAFIKIRIA KUDIVERT ROUTE YA LOBITO.
Si lazima kusikiliza wajinga wachache wanaosifia stick to Unachokiamini kama kiongozi as long as ni chema kwa nchi.
View: https://x.com/AshPapi05/status/1829489844550246583?t=inVMtUJjpMcJCxdvCpECYQ&s=19
Huyu bila shaka kaja kupanda Joka.
Lazima aipost na kuisifia
Huwa ni watu wa kukurupuka kukimbizana na jirani bila kujipanga.Kwanini wakenya huwa hawamalizii miradi mkuu?