Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Udhubutu unalipa, naamini yule mzee angekuwepo now ni makofi kila kona. Kipindi anaanzisha haya yote tulimuona mbaya sababu alifunga mkanda (No ajira, no posho, no kufunika kombe kwenye kodi, no ujanja ujanja, no uzembe) ili mambo mengi yatekelezeke.

IMAGINE MUDA HUU ANGEKUA HOW PROUDS na Tanzania ya Viwanda baada ya kukamilisha foundation kuu ya Industrialization Energy (JNHP), Infrastructure (Kigogo Busisi, SGR, ALL PORTS RENOVATION, DAR PORT EXPANSION, BRT, AIR TANZANIA)
Raw Materials (Akiwa proudly na sheria yake ya Permanent Sovereignty ambayo kuna ujinga mwingi ilifuta hadi kuwa na Mgodi wa NICKEL TEMBO).

Naamini muda huu kungekua furaha sana.

Though kuna kitu kwenye hii battle tungekuwa tunapopolewa mawe WAMACHINGA

I HOPE VIONGOZI WA SASA WAJIFUNZE KUFANYA UTHUBUTU, ONA SASA HADI USA ANAFIKIRIA KUDIVERT ROUTE YA LOBITO.

Si lazima kusikiliza wajinga wachache wanaosifia stick to Unachokiamini kama kiongozi as long as ni chema kwa nchi.
 
So you don't own any brand.
You got my point. That's the most important thing. These sideshows won't change a thinge. The day you'll show me any Scania assembly plant in Tanganyika I'll start egaging you on these topics
 
Back
Top Bottom