Wakenya mmekimbia, hatuoni picha za maana. Mbona hamjibu?? Mmekaa kimya.Waache hawa, sasa ukimuwekea Thika road atakujibu na nini?
Kama hii iliweka atakujibu na nini?
Ukimuekea Garden city akujibu na nini? NK wakifika hapo wataanza kuharibu thread na vijimambo, Kheri Mombasa watakuwa na kitu cha kuchangia
Hata hawatambui hizi ni vitu ganiHapa wanapita kimya kimya wakiuma ndimu.
Tunaishi kama wanyama mkiishi kama wafalme... Umeeleza vizuri sana heko!umepwaya. Acheni kugombania chakula na kuishi kama wanyama. Utaokoteza data kutoka kwenye blogs mbalimbali. Ukweli utabaki palepale kwamba wakenya wanaishi kama nguruwe. Bye nalala.
Tunaishi kama wanyama mkiishi kama wafalme... Umeeleza vizuri sana heko!
![]()
Hahahaha! that's the best road/highway in Tz...don't be ashamed.Mwenzako alielewa alichouliza , labda nikupe elimu kidogo dar kuna barabara nyingi sana zinazozunguka mji kuliko nairobi, na hili halina shaka
Good to see you again bro, I thought u were killed by the Police during demonstrations,

Good to see you again bro, I thought u were killed by the Police during demonstrations,![]()
![]()

hizo nyumba ni ndogo aje. kwani ni bedsitterDege eco village kigamboni dar es salaam
View attachment 649040 View attachment 649041 View attachment 649042 View attachment 649032 View attachment 649035 View attachment 649036 View attachment 649037
View attachment 649048 View attachment 649049 View attachment 649050 View attachment 649051
View attachment 649054 View attachment 649055
View attachment 649061 View attachment 649062
View attachment 649064
View attachment 649066
View attachment 649067
View attachment 649071 View attachment 649072
Pia weweSasa mmeanza mambo ya kipumbavu. Usiharibu hread yetu. Kama huna poimt nenda kalale. Mpumbavu wewe.
Hizi ni kwa ajili ya makazi ya muda kwa wapangaji.hizo nyumba ni ndogo aje. kwani ni bedsitter
Hahahaha! that's the best road/highway in Tz...don't be ashamed.
Some Kenyan trunk roads (in Nairobi's periphery)
![]()
![]()
![]()