Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe umeelezwa hiyo barabara ni temporary inaongezwa njia plus BRT bado unakomaa tu bila point. Kama sio ushamba ni nini. Wakenya ni washamba sana bado ni primitive ndio maana wanakaa kwenye nyumba za nguruwe na ukabila umeshika hatamu.
lolz!!!! hili ndio laitwa povu kamili.
you are blinded by patriotism
 
lolz!!!! hili ndio laitwa povu kamili.
you are blinded by patriotism
Rafiki usidhani hapa tunakodoa kodoa macho kama huko kibera. Sisi tunaenda kwa facts hatuna blah blah. Ukileta vya kuleta unakula za uso na kurudi kwenye mashimo kama panya akiona paka.
Umeelezwa kila kitu hiyo barabara ipo kwenye mpango wa BRT awamu ya nne na tayari pesa zinatolewa na world bank. Awamu ya pili inaanza mwaka kesho pesa tola world bank. vile vile awamu ya tatu inaweza kuanza next year pesa zinatoka Africa commercial bank. Sasa unaleta makamasi hapa tukusaidie nini? Mshamba kabisa.
 
umekula lakini?
Hilo swali unapaswa ujiulize mwenyewe maana kenya mlo kwenu ni shida, mpaka watu wanagombania unga Supermarket. Tanzania kula ni jadi zaidi ya milo mitatu kwa siku. Kenya kula ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu. Mnaishi kama ndege.
 
Hilo swali unapaswa ujiulize mwenyewe maana kenya mlo kwenu ni shida, mpaka watu wanagombania unga Supermarket. Tanzania kula ni jadi zaidi ya milo mitatu kwa siku. Kenya kula ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu. Mnaishi kama ndege.



leo umekuwa na hasira sana....hahaha.Pimiwa nyama kilo nusu hapo ntakulipia
 
let me tease kenyan's stupid ego:

forget the BRT system,this is dar es salaam's public transport in 2017.

0ab0f5b0530b2ee99aa54ecb0c0cc476.jpg
 
leo umekuwa na hasira sana....hahaha.Pimiwa nyama kilo nusu hapo ntakulipia
Ona Sasa ulivyo empty kichawa hapa nakueleza facts unasema nina hasira!? Njoo na facts tujadili kama huna kojoa ulale.
 
Nilikuwa nafikiri wakenya mnajua kingereza. Hapo umeelezwa ni upungufu wa chakula. Yaani kama mtu alikuwa anakula mara tano kwa kisku basi anakula mara tatu. Kuko kenya ni janga la njaa. Kwa lugha nyingine tunasema baa la njaa. Watu wakufa na wengine kula mizoga ya wanyama pori.

Hutasikia TZ watu wanagombania unga kama huko kenya.
Kwanza nakutaka jifunze kingereza ukijue kisha uje kujadili na mimi. Hujui hata tofauti ya upungufu na janga.
 
lol.....nimeona bonge la superhighway... .lane mbili kila upande kwa mpigo
Ushamba huo. Tafuta exposure. Wakenya bado primitive, wanaishi kwenye mabanda ya nguruwe. Mtakapoacha kuishi kwenye mabanda ya nguruwe ndio mtaonekana watu. Lakini sasa hivi ni vigumu kuwatofautisha na wanyama pori. Ndio maana ukabila ni mwingi, issue za ukabila ni za wanyama pekee i.e nguruwe, fisi etc.
 
Back
Top Bottom