Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Africas-biggest-airlines-WP.jpg
Profit negative 259 b usd hahaha😀😀
Huku 29% ndio owned by ur gvt zilizobaki za wazungu huku ndege zote ni zaku lease🙄

Alaf angalia wazungu walivo wajanja ajira wakenya wamepewa 4000 only lakini angalia mashirika yanayomilikia na serekali za nchi tofaut ajira mpaka 35000

Ama kweli stress tumuachie mbuzi wa sikukuu😎😎
 
nasubiri majina ya wakenya(indigenous kenyans not settlers) wanaomiliki rea vipingo....au niwape mda zaidi maana sidhani kama google inaweza kuwasaidia katika hili.
kwanza wakenya kama wakenya hata nchini kwao uchumi hauendeshwi nawakenya wanaomiliki uchumi Wa Kenya ni makabulu.....yaani hapa tunabishana na vilaza ambao hawawezi kuwa stable wao kama wao wale watu Wa ughaibuni wakikimbia tu Kenya yote chali...
 
si tunaongelea vitu local? mbona unataja vitu vya Cocacola (Minute maid) na hiyou Del Monte

Au ?
hao hawana brand zao kama zao mpaka mzungu aende Kenya awazalishie bidhaa wao kama wao hawajiwezi
 
Atakaeonesha rolercoster in kenya anitag😀😀
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi
Don't be excited about small issues gooned boy...A rollercoaster ride takes you nowhere but an SGR ride will cover 500km, tag me "if" you manage to post a working one(no renders and tuta stuff).
 
Don't be excited about small issues gooned boy...A rollercoaster ride takes you nowhere but an SGR ride will cover 500km, tag me "if" you manage to post a working one(no renders and tuta stuff).
Hahaha najua hamuna rolercoster 😀😀😀😀
Pole sana bro zisikutie stress bure

Tumeanza ujenzi wa SGR mwezi wa nne mwaka huu
So SGR ya tanzania itakuumiza sana kichwa

Usisahau yakwenu mulijenga kwa miaka 3 na nusu😛
 
Nitaumia aje na a non- existent thing?
 
Back
Top Bottom