mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
![]()
Dar ni zaidi ya Nairobi
![]()
Dar ni zaidi ya Nairobi
Hizi picha tumezoea kwani reli ilifikia kikomo hapo?
No culvert their
Umejuaje.... elaborate kiasi....Bongolalas mafala sana wanakiburi nahawana k2
Ndio maana nimekuekea na video uone ujenzi usiku na mchana na nilitegemea utatoa povu tu😀😀😀Hizi picha tumezoea kwani reli ilifikia kikomo hapo?
Hio barabara ilipanuliwa na sasa ni njia 5 bado inapanuliwa tena kua njia 8 so ujenzi hapo haujaisha
Asie na hili ana lile asante kwa hasira😀😀😀Bongolalas mafala sana wanakiburi nahawana k2
rete pisha!!!! I don't believe in hear-sayHio barabara ilipanuliwa na sasa ni njia 5 bado inapanuliwa tena kua njia 8 so ujenzi hapo haujaisha
Narudia hio bara bara ilikua njia 3 ikapanuliwa kwenda njia 5 na sasa plan inaendelea ya njia 8 za magari plus njia mbili za brt jumla 10 lanesrete pisha!!!! I don't believe in hear-say
Yes. Too many culverts!!!Narudia hio bara bara ilikua njia 3 ikapanuliwa kwenda njia 5 na sasa plan inaendelea ya njia 8 za magari plus njia mbili za brt jumla 10 lanes
View attachment 648835
Narudia hio bara bara ilikua njia 3 ikapanuliwa kwenda njia 5 na sasa plan inaendelea ya njia 8 za magari plus njia mbili za brt jumla 10 lanes
View attachment 648835
Toa ushamba wako. Hapa. Onesha culvert hapo.Yes. Too many culverts!!!
View attachment 648854
Nenda zako tulol.....hiyo ndio superhighway yenu..... sijui nicheke ama niende zangu...lol
Thats are for temporaly onlyYes. Too many culverts!!!
View attachment 648854
Yes. Too many culverts!!!
View attachment 648854
Vaa miwaniToa ushamba wako. Hapa. Onesha culvert hapo.