Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilikuwa nafikiri wakenya mnajua kingereza. Hapo umeelezwa ni upungufu wa chakula. Yaani kama mtu alikuwa anakula mara tano kwa kisku basi anakula mara tatu. Kuko kenya ni janga la njaa. Kwa lugha nyingine tunasema baa la njaa. Watu wakufa na wengine kula mizoga ya wanyama pori.

Hutasikia TZ watu wanagombania unga kama huko kenya.
Kwanza nakutaka jifunze kingereza ukijue kisha uje kujadili na mimi. Hujui hata tofauti ya upungufu na janga.
you can deny all you want.... Tanzania: Survey Finds Most Tanzanians Go Hungry, Despite Govt Denials
 
umepwaya. Acheni kugombania chakula na kuishi kama wanyama. Utaokoteza data kutoka kwenye blogs mbalimbali. Ukweli utabaki palepale kwamba wakenya wanaishi kama nguruwe. Bye nalala.
heri upumzike. wala makande kisha unywe viroba alafu utarajie kuwa sawa kweli?
ndugu zako wabongo wamejazana barabarani huku wakiomba shilingi. kesho asubui nawanunulie chai na mikate
 
Superhighway yenu ni very funny no wonder unanitolea povu.
Mwenzako alielewa alichouliza , labda nikupe elimu kidogo dar kuna barabara nyingi sana zinazozunguka mji kuliko nairobi, na hili halina shaka
 
heri upumzike. wala makande kisha unywe viroba alafu utarajie kuwa sawa kweli?
ndugu zako wabongo wamejazana barabarani huku wakiomba shilingi. kesho asubui nawanunulie chai na mikate
Bora hao wanaomba ndugu zenu wapo huku wanaiba kwenye maduka na dawa yao ikawa hii😀😀😀
IMG_1372.PNG
 
tanzania's powerful figures,let's celebrate our own.
his name is said salim bakhresa,chairperson of bakhresa group of companies.
444efa8dfabd0ca139cccb303cad116d.jpg

many kenyans haven't seen him, he is arguably east africa's number one billionaire(per my views).

owner of azam tv,azam marine/azam sea ferries,azam football club,factories in tanzania which produce different types of food product,mineral water and numerous of juices including azam energy drink which is "widely available in kenyan market".

he is also the owner of modern milling factories in south africa,mozambique,zimbabwe,tanzania,malawi, rwamda,uganda and madagascar.

owner of many commercial properties in dubai,dar es salaam and fumba-zanzibar.

without forgetting,he is one of tanzanian's top job creators in private sector.has employed not only tanzanians but even kenyans and indians....if you visit one of his investment,you will be surprised to see "kenyans" and indians working for him.

ooh!, i forgot to mention one thing very important, he is a top supplier of wheat and maize flour in kenya.

now that's bakhresa.
 
wanjala thanks for coming back...when you were gone something too big happened.

i know you're a blind patriot kenyan who hate azam tv simply b'se it's owned by a tanzanian.

ec99ec492ff654c54115465b7e18bc12.jpg
b09bf78623e1cbd5e73609b6dc8e8fc4.jpg
a804b6e666b66d99f754b0a79bf8a975.jpg
ec67cef1a4cf2af3d39bfd27bf8a5457.jpg
dac8454211eb0da0fe83503ab5216a02.jpg
2552202901fa8d841988ad54b37bbc7f.jpg
12b8358c94a3032225322de4ece78277.jpg
3bd793bdb42bc3a6d706431bbda9ca6f.jpg
 
Back
Top Bottom