Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hofu yangu. Mbona serikali au TRC hawaongelei kabisa kipande cha Makutupora to Isaka?
Ningependa nipate updates kipande hicho....

Nikisikia hata kimefika 50% basi matumaini ya kufika mwanza 2026 yatakuwepo sana

Palisimama kidogo ila kwa sasa kazi zimerejea kwa kiasi fulani... Tuta ni kama limekamilika kwa sasa wana fanya kupeleka Reli kule ili waanze kuzitandaza... Na hiyo ni makutopora to Isaka na Isaka to Tabora kazi zime anza.

Nasikia mturuki katoa sub kwa mchina hivyo kazi inaendelea kwa hizo lot 3 and 4.
 
Suffice to know that, there is a substantial amount of money invested in Nairobi real estate development by Tanzanian government. 😁
Waje wawekeze Nairobi wakati Dar ni mahame Kwa wawekezaji wa real estate. Una kichaa bongolala
 
Back
Top Bottom