Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1828305002705588329?t=3YGtlpBkI4kUhN4RgOGCyA&s=19
20240827_085052.jpg
 
Mimi MTanzania ila Jiji la Dar-es-salaam ni very poor katika miundo mbinu ya barabara sbb mara nyingi miundo mbinu yetu haiwi planned na serikali inaanzishwa na mwananchi aliyevamia ardhi na baadae kuja kukarabatiwa na serikali hata kama ni miembamba au imepita mahali sio na ulinganifu unaofanyika hapa ni wa picha zinazo pigwa maeneo mazuri na picha za juu tu sio za chini ila uhalisia bongo iko poorly planned …..vumbi mpaka posta usafi kwetu mwiko …miji kama masaki barabara mbovu….watu au serikali inatakiwa itengeneze gardens pembeni mwa barabara….but hakuna barabara zinatelekezwa tu haya ,….kariakoo iko very poorly planned kwanza chafu, kuingia na gari shida sana etc
Hawajaiona hii post Hadi saizi? 😂😂
 
Back
Top Bottom