Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
“How is does” ni too much kaka 😂😂😂It's obviously a typo bongolala. It's even funny how you make it a big deal wakati wenzenu wanatapikia kiingereza hapa kila siku, you included
“How is does” ni too much kaka 😂😂😂It's obviously a typo bongolala. It's even funny how you make it a big deal wakati wenzenu wanatapikia kiingereza hapa kila siku, you included
Police bullets ni timu mpya kabisa kwenye mpira Kenya lakini kamzaba bingwa wa milele wa tanzakundu. Hakuna mchezo ambao vumbistan inatuweza pengine KOMASAVA 😂
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1828015346256666869?t=hOfC8TSbGwPfedOrW_DmBw&s=19
Yani kuweka tu matokeo mnabania, haya iko wapi zile dharau 😂😂😂
View: https://x.com/simbaqueenstz/status/1828010453022257221?t=zUnY6aVg8cwDNrYYgvSULw&s=19
Hofu yangu. Mbona serikali au TRC hawaongelei kabisa kipande cha Makutupora to Isaka?SGR ifike mwanza tu tuumalize mchezo
Kazi tunayo hapo kwa Al Ahly 😂😂😂Naskia kuna mvua za elnino zinarudi tena 😂😂
View attachment 3079925
Hii picha kuna bwege inamkera kaamua kuniigore 😂Cannibalism😂
View attachment 3079889