Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,889
- 103,757
Ni kitega uchumi apart from embassy kutakuwa na other commercial activities pia. We are also funding TB program in Kenya 🤣🤣🤣🤣Hiyo ni embassy yenu bongolala. That one has nothing to do with Kenya. Hata Kenya ilijijengea embassy yake hapo Dar is slum and all countries do that.
Naona vya Kenya vitatu, vyenu vinne. Alafu vya Kenya ukiweka pamoja vineshinda vyenu ukiweka pamoja so nashaangaa kelele za Nini?Nyie jamaa mnaona vile Airports zetu ziko busy? Haya pambaneni na Kiwanja chenu kimoja ngoja Msalato na Mwanza vikamilike mtaona show nyingine!!
View attachment 3079741
Kwahiyo 75+73+35+24 ni ndogo kuliko 179 (your total)? Basi sawa….!!Naona vya Kenya vitatu, vyenu vinne. Alafu vya Kenya ukiweka pamoja vineshinda vyenu ukiweka pamoja so nashaangaa kelele za Nini?
It's obviously a typo bongolala. It's even funny how you make it a big deal wakati wenzenu wanatapikia kiingereza hapa kila siku, you includedHiki ni kiingereza au kigikomba mkuu.? 😂😂😂 how is does…. 😂😂
Top 10 Africa mna 75 sisi tuna 123Kwahiyo 75+73+35+24 ni ndogo kuliko 179 (your total)? Basi sawa….!!
This thread is about Nairobi vs Dar. Not Kenya vs Tanzania. Umesikia bongolala?Acha maneno weka projects. Au kenya umefikia ukingoni?
Commercial activities zipi? Za wakenya au watanganyika?Ni kitega uchumi apart from embassy kutakuwa na other commercial activities pia. We are also funding TB program in Kenya 🤣🤣🤣🤣