Akili za kitanzania zimedua kweli.., tatizo sio kukopa but wanaangalia viability, what will be return on investment? makes sense when Uganda and Rwanda are roped in.., yaani akili mtu wangu sio kukurupuka kiholela., yenu imebeba mizigo tani ngapi?.., a white elephant project kwa vile mizigo zaidi ya 70% ya port ya Dar inabakia Dar.., kwingine ni vijiji tupu, train ya abiria haijawai kukuwa na faida duniani, business is in freight kilaza, nyie mko na mali kidogo sana ya kupeleka vijijini, SGR yenu haiwezi tengeneza faida kirahisi! Serikali ya washamba wanajenga ilimradi tu hawaelewi ni kwa nini, hawana lengo mwafaka haswa, wanajaribu kushindana na jirani hiyo ndio lengo.., masomo duni ni balaa kwa taifa na kuongozwa na mibongolala ni laana kuu!!