Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Teargas najua vita hii huiwezi. Endeleeni na kupambana na njaa, issue za Buses waachieni wenye pesa.
1724487432017.png
 
Dar- Moro 300km pekee.., passenger train, where is value for money?..., mnauwa mabasi eti uchumi hehehe.., no economic viability whatsoever, CCM PR gimick at the expense of tax payers money na mikopo kwa wingi, mifukara wa akili na mali hehehe
Onaropoka huelewi nini unazungumza.
Nani kakwambia biashara ya mabasi inakufa!?
Nani kakwambia hakuna value for money!?
Nani kakwambia hakuna economic viability??
Hivi unajua kuna wafanyabiashara hufanya biashara daily toka Dar-Moro-Dom na kurudi??
Hivi unajua kwasababu hiyo mzunguko wa pesa umekua mkubwa kwao!?
 
Hata hizo car assembling plant they have been investing in a wrong place, no demand… few buses compinies.. sahii waache wa brag to export them 😂😂😂😂 they can not afford.
Baboon mambo vipi bwana, Yani hadi siku hizi unaogopa kunireply?😂😂😂


Tangu tujue unafanana na baboon umekuwa muoga sana😂😂👇👇

IMG_0485.jpeg
 
Unajua maana ya kubebwa ufala kweli? ni ile mnakubali maneno ya mtu na hamuna uwezo wa kutofautisha propaganda na ukweli, in this by the fact it is being referred to as "story za jaba" (ama 'hadithi za vijiweni' kwa lugha yenu) tushamuumbua so hatubebwi ufala kama mnavyo bebwa na CCM, infact ni sisi huwa tunajaribu kuwachanua muone mnavyo bebwa ufala siku zote, ila mnajitoa ufahamu humu, ukweli hampendi.
Mlipompigia kura kwa story za jaba? Tuite nn? Kama si kubebwa ufala?

Bebwa ufala mwingine Falamanga!

View: https://youtu.be/YwrmGwJYvkw?si=pmZ_fiyT_OpAh5Bb
 
Mlipompigia kura kwa story za jaba? Tuite nn? Kama si kubebwa ufala?
Zile zilikua campaign promises, unajua tofauti ya kutoa ahadi na propaganda?.., nyie ndio chief ama wakuu wa kubebwa ufala tokea mababu sasa ni nyie vitukuu na hambadiliki hivi karibuni..,
 
Akili za kitanzania zimedua kweli.., tatizo sio kukopa but wanaangalia viability, what will be return on investment? makes sense when Uganda and Rwanda are roped in.., yaani akili mtu wangu sio kukurupuka kiholela., yenu imebeba mizigo tani ngapi?.., a white elephant project kwa vile mizigo zaidi ya 70% ya port ya Dar inabakia Dar.., kwingine ni vijiji tupu, train ya abiria haijawai kukuwa na faida duniani, business is in freight kilaza, nyie mko na mali kidogo sana ya kupeleka vijijini, SGR yenu haiwezi tengeneza faida kirahisi! Serikali ya washamba wanajenga ilimradi tu hawaelewi ni kwa nini, hawana lengo mwafaka haswa, wanajaribu kushindana na jirani hiyo ndio lengo.., masomo duni ni balaa kwa taifa na kuongozwa na mibongolala ni laana kuu!!
Leo ndio umekili reli yenu ni tembo mweupe
 
Wacha wivu mzee sasa kama bus moja ya Master fabrication inanunua nne za China tatizo nn? Wenye mabasi Tanzania wanachagua ya Uchina!
Wanachagua ya uchina because they are cheap😂😂🤣

This bus here is 588,000,000 Tanzanian shillings 😂🤣👇👇

1724490815224.jpeg
 
Back
Top Bottom