Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I took this from the Kenyan side. Most Bongolalas here have never even seen this mountain.

View attachment DSC03910.JPG
Screenshot 2024-08-18 191443.png
 
Sina exposure.? 😂😂😂 im living in the city where there is a railway viaduct starting from the CBD to the residential area. The one and only electric railway in the region.. wewe una exposure kunishinda sasa.? 😂😂😂😂 ulishawahi kuona electric railway hata kwa umbali wa mita 200 tu.? 😂😂
SGR ambayo Wakenya wenzie wanasafiri kuja kuonjq utamu wake 🤣🤣🤣
 
Mimi nimezoea kuona international kinda infrastructures mzee, yani wew mpumbavu wa kikenya unaniuliza exposure😂😂😂 nini nafaa kuona huko kwenu? Ikiwa wew BRT unaishia kuziona humu JF, electric train and electric railways unaziona tu humu kwa picha, cable stayed bridges unaishia kuziona humu kwa picha 😂😂😂 halafu unaniuliza exposure.? 😂😂😂
Tunaweza ona nini kwao 😂
 
Leo nimekimbia CRDB marathon nimepita kule Rose Garden road naona Dar Village iko final stages. Mlimani city ajipange.
Na kule Yatch Club naona mall ya GSM nayo inakaribia kuisha ila hawa najua hawana quality watatuletea kituko.
Kuna Ile ya Ubalozi wa Mozambique pia pale masaki . Morocco square wapo taratibu ila naona Waikiki tayari washaweka bango lao.
BTW wabongo wana miradi mingi mingine mikali hata haitajwi tajwi humu. imagine kuna BRT lanes hadi Kibaha na Expansion inaendelea kutoka Ubungo hadi Kimara 8 lanes.
Mkundustan amebaki tu We are Rich wakati kajaa indicators za umasikini kila kona.
 
Hio ya ubalozi wa Mozambique ndio ninayozungumzia. Ni ya Lake Oil ubia na ubalozi. sio GSM
 
Kuna Ile ya Ubalozi wa Mozambique pia pale masaki . Morocco square wapo taratibu ila naona Waikiki tayari washaweka bango lao.
BTW wabongo wana miradi mingi mingine mikali hata haitajwi tajwi humu. imagine kuna BRT lanes hadi Kibaha na Expansion inaendelea kutoka Ubungo hadi Kimara 8 lanes.
Mkundustan amebaki tu We are Rich wakati kajaa indicators za umasikini kila kona.
CC: Teargas
 
They promote this mountain using pictures taken from Amboseli side .. I have seen Bongo safari ads on American online media .. so are they ashamed of showing “their” mountain from their own side perspective?..😄😄
Yeyote atakayepiga picha. Iwe yupo planet ya mars au popote as long as kapiga property ya TZ, we will post
 
Kwa nini upige picha mali za watu useme ni zako nawakati una mali zako au ndio ile kwa kijarani ni kuzuri na kwako ni kubaya
They promote this mountain using pictures taken from Amboseli side .. I have seen Bongo safari ads on American online media .. so are they ashamed of showing “their” mountain from their own side perspective?..😄😄
 
Mzee huu mji Una master plan kweli, unapitishaje reli on ground level alafu unaweka embarkments kwenye heavy commercial/residential area. Mbona wasingejenga subway tunnel ama sky bridge Kama expressway ya NBO.
Hii reli ni kwaajili ya kubeba mizigo mizito, abiria imetokea tuu. Unajua gharama ya kujenga daraja refu kuhimili uzito wa 35t axle load kwa umbali wote wa jiji la Dodoma?
 
Back
Top Bottom