Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzee huu mji Una master plan kweli, unapitishaje reli on ground level alafu unaweka embarkments kwenye heavy commercial/residential area. Mbona wasingejenga subway tunnel ama sky bridge Kama expressway ya NBO.
Shida ya hiyo ipo wapi mpumbavu wewe.? 😂😂😂 au ni kuteseka kwako tu.?
 
Our forest brother is back😂😂🤣

IMG_0485.jpeg
 
The fact kwamba huoni tatizo inamaanisha hauna exposure. Hujui namna gani mji unastahili kupitisha reli katikati ya majengo 😉
Sina exposure.? 😂😂😂 im living in the city where there is a railway viaduct starting from the CBD to the residential area. The one and only electric railway in the region.. wewe una exposure kunishinda sasa.? 😂😂😂😂 ulishawahi kuona electric railway hata kwa umbali wa mita 200 tu.? 😂😂
 
Nimeliona tatizo lako, hujui viaduct nini. Jirekebishe kwanza tuendelee na kisomo
 
Mimi nimezoea kuona international kinda infrastructures mzee, yani wew mpumbavu wa kikenya unaniuliza exposure😂😂😂 nini nafaa kuona huko kwenu? Ikiwa wew BRT unaishia kuziona humu JF, electric train and electric railways unaziona tu humu kwa picha, cable stayed bridges unaishia kuziona humu kwa picha 😂😂😂 halafu unaniuliza exposure.? 😂😂😂
 
Is this a viaduct 👇???
IMG_0814-1.jpeg
 
Kwamba wewe una exposure ya kunipa mimi.? 😂😂😂
Hio sehemu ilistahili kujengwa viaduct yenye free standing piers ama columns sababu kutakua na a lot of people movement across. Na usiniambie kuhusu footbridge manake hio sehemu ni ndefu. Tatizo ni kujenga mji mpya alafu mnarudia makosa yale yale. Mshamba anakuja jf kubrag bila exposure pole 😂
 
Back
Top Bottom